Chai FM

Bodaboda kuchukuliwa hatua Rungwe

4 September 2026, 6:25 pm

Mrakibu wa polisi wilaya ya Rungwe Felix Kakolanya akiongea na kituo hiki ofisini kwake[ Picha na Aidan Mwakyoma]

waendesha vyombo vya moto nchini wametakiwa kufuata sheria ili kupunguza ajali

RUNGWE

Na Aidan Mwakyonya

Mrakibu wa jeshi la polisi Wilayani Rungwe  mkoani MbeyaFelix Kakolanya amewataka waendesha vyombo vya moto kufuata sheria za Barabarani

Kauli hiyo ameitoa alipo kuwa akiongea na kituo hiki ofisini kwake ambapo ameseama waendesha vyombo vya moto hasa waendesha pikipiki  [madereva bodaboda]  wamekuwa na tabia ya kuto chukua tahadhari wanapo tumia barabara kuu

Hata hivyo Kakolanya amesema kunapo msababishia mwenzi ajali unapunguza nguvu kazi ya taifa na wamesahi Bodaboda wajenge utarabu wa kusoma sheria za usalama wa Barabarani kwa kufanya hivyo kutapunguza ajali zitokanazo nauzembe wa  baadhi ya watumiaji wa Barabara

Sauti ya felix kakolanya1

Aidha mrakibu huyo  ameeleza utaratibu mpya utakaotumika kwa madereva wanaosababisha ajali na kutorosha vyombo vyao vya usafiri pindi hatua za kisheria zinavyo taka kuchukuliwa

Sauti ya felix kakolanya

Kwa upande wao waendesha pikipiki [ madereva bodaboda] wilayani Rungwe wameeleza  namna wanavozingatia usalama  barabarani huku wakitoa changamoto wanazokumbana nazo wakiwa katika majukumu yao ya usafiriishaji

Sauti ya bodaboda

kwa upande wa larta wametoa wito kwa bodaboda kusajili na kulipia vyombo vyao vya usafiri  ili kuepukana na changamoto za ukaguzi pindi wakiwa safarini na kuwaomba wafuate  taratibu ………………………………………. insert latra