Chai FM

Wananchi wilayani Rungwe walia na mradi wa maji

12 December 2023, 10:11 am

Baada ya kukosekana kwa huduma ya maji katika kata ya ikuti mbunge wa jimbo la Rungwe amewaomba wananchi kuwa na subira serikali inapoendelea kutekeleza mradi wa maji wa ikuti na lyenje.

Mbunge wa jimbo la Rungwe Albert Mwantona akiongea na wananchi wa kata ya ikuti[picha na Peter kasumeni]

RUNGWE.MBEYA

Na Lennox Mwamakula

 Licha ya serikali kutoa fedha  Kiasi cha shilingi bilioni 1.4 zimetolewa kwaajili ya mradi wa maji  ikuti kinyika na lyenje kuto kamilika wananchi wamemuomba mbunge kuwa tekelezea ili wapate maji safi na salama

Mbunge wa jimbo la Rungwe Albert Mwantona akiwa kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha lyenje  wakati wa ziara yeke ndani ya jimbo la Rungwe amewahidi wananchi wa kata ya ikutu kuwa mradi huo wa maji kutamilika kwani amesema baada ya fedha hizo kutolewa na serikali

Mbunge Mwanona akisalimiana na mmoja ya wananchi [picha na Peter Kasumeni]

Akisoma Risala mbela ya Mbunge Danford Boniface amemshukuru mbunge kwa kuwajengea barabara ya lyenje kwani kabla ya uwepo wa Barabara hiyo mawasiliano yalikuwa ni magumu na wananchi wameshukuru kwa mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa ndani ya kata hiyo

sauti ya msoma risala

Hata hivyo Boniface amebainicha  changamoto  wanazo kabilina nazo wananchi hao kuwa kukosa fedha za ukamilishaji wa ujenzi wa zahanati kwani wananchi wanatembea umbali mrefu kufuta huduma za matibabu

sauti ya msoma risala changamoto

Diwani wa kata ya ikuti Charles mwakalinga akizungumza kwaniaba ya wananchi [picha na Peter Kasumeni]

Kwa upande wake diwani wa kata ya ikuti  Charles mwakalinga amesema wananchi wa lyeje wanakupongeza kwa kuwapigania juu ya maji lakini  kunabadhi ya wananchi  awajafikiwa na umeme kama vilae taasi za dini

sauti ya diwani

   Aidha mbunge Mwantona amesema kutokana na kilio hicho cha wananchi kuhusu maji na umeme  katika awamu hii vitongoji vyote vinaenda kupatiwa umeme na awamwaomba wananchi kuwa na subira  kwani serikali  itahakikisha kila moja anapata huduma hiyo ya nishati

sauti ya mbunge…01

Sambamba na hilo Mwantona amesema kutokanana barabara ya kutoka kk hadi ikuti kuwa na changamoto ya kutopitika vizuri kipindi cha mvua amesema kwakushirikiana na bunge wa songwe itajengwa kwa kiwango cha lami kwani amesema serikali imefanya upembuzi yakinifu hivyo muda wowote  ujenzi utaanza

sauti ya mbunge 02