Chai FM

Kipindi kuhusu mashauri ya ndoa

9 May 2024, 2:12 pm

katika picha ni msaidizi wa kisheria wilaya ya Rungwe Bw. Eddie Mwangalaba akiwa katika studio za Chai FM kutoa elimu ya sheria( picha na Lennox Mwamakula)

Katika kipindi hiki ni mwendelezo wa elimu ya msaada wa kisheria mada kuu ni muongozo wa watumiaji wa mahakama, hapa utasikiliza zaidi mashauri ya ndoa ikiwa ni pamoja na usuluhishi wa ndoa.