Chai FM

Fahamu Rushwa inavyo fifisha haki katika mashauri ya jinai

2 October 2026, 10:27 am

Imeelezwa kuwa shahidi anaweza kufanya makosa ambayo yanaweza kuathiri keshi moja kwa moja

Wataalamu kutoka tume ya haki jinai wakiwa studio za Chai FM wakitoa elimu kwa umma. Picha na Sabina Martin

Karibu kusikiliza kipindi kilichoruka moja kwa moja studio kikihusisha wataalamu kutoka tume ya haki jinai wakitoa elimu kwa umma kuhusu rushwa inavyopindisha haki katika mashauri ya jinai.

Wataalamu hao ni pamoja na Severine Mhabura ambaye ni mkuu wa upelelezi wilaya ya Rungwe, Veronica Mtafya ,Mkuu wa mashtaka Rungwe, Mariam Msagati, afisa wa TAKUKURU Rungwe pamoja na Yohana kibona, Afisa huduma za uangalizi wilaya ya Rungwe na mjumbe wa haki jinai.