Chai FM

Recent posts

19 January 2024, 10:18 am

Chakula shuleni chatajwa kuwa chanzo uelewa wa wanafunzi

Ushirikiano mzuri baina ya wazazi na walimu umetajwa kuwa chachu ya ongezeko la ufaulu kwa wanafunzi wa shule ya msingi. Na Sabina Martin – RUNGWE, Wazazi na walezi wilayani Rungwe wameshauriwa kushirikiana zaidi na walimu ili kuboresha maendeleo ya watoto…

17 January 2024, 11:07 am

Wachungaji 17 wabarikiwa KKKT dayosisi ya Konde

Na mwandishi wetu Askofu Geophrey Mwakihaba wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Konde amewabariki Wataradhia kumi na saba kuwa Wachungaji baada ya kuhitimu masomo ya Theolojia hivyo kuendelea kuongeza Watumishi ndani ya Kanisa ibada iliyofanyika usharika wa Tukuyu…

13 January 2024, 5:16 pm

Miaka 60 ya mapinduzi ya zanzibar yazinufaisha shule za sekondari Rungwe

ikiwa dunia ikikabiliwa na mabadiliko ya tabianchi jamii imetakiwa kuwa msitari wa mbele kuhakikisha miti inapandwa kwa wingi ili mvua imeze kupatikana na uzalishaji wa mazao uongezeke. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mmwamakula Ikiwa serikali ya mapindunduzi ya Zanzibar  inadhimisha miaka 60…

7 January 2024, 12:32 pm

Wakazi wa Ilenge wilayani Rungwe wafurahia kupata zahanati

Baada ya kufuata huduma ya matibabu umbali mrefu wananchi wa kijiji cha Ilenge wameipongeza serikali kwa kuwajengea zahanati kwani wamesema imewapunguzia changamoto ya kukosa matibabu. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Mkuu wa wilaya Rungwe Jaffar Haniu amepongeza juhudi zilizofanya na wakazi…

4 January 2024, 7:45 pm

Wakazi Kisondela Rungwe wapeleka kilio cha maji kwa spika wa bunge

Suala la maji limekuwa changamoto kubwa kwa wananchi wa wilaya ya Rungwe licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya maji ndani ya wilaya hiyo. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula wananchi wa Kijiji cha Kibatata Kata ya Kisondola Wilaya ya Rungwe Mkoani…

31 December 2023, 8:34 pm

Wadau wa maendeleo wazidi kuing’arisha Rungwe

Katika kuhakikisha ofisi Chama Cha Mapinduzi CCM kuwa na mwonekano mzuri wadau mbalimbali wameendelea kujitokeza kukarabati majengo ya chama hicho wilayani Rungwe. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Mkurugenzi wa Taasisi ya mwaiteleke Foundation Aliko Mwaiteleke amewaomba wadau mbalimbali wa maendeleo nchini…

29 December 2023, 10:32 am

Wadau wa maendeleo wasaidia ujenzi wa madarasa Rungwe

ikiwa shule zinatarajiwa kufunguliwa wadau wa maendeleo nchini wameomba kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha miundombinu ya shule Mkurungenzi wa Mwaiteleke foundation [kulia]akizungumza baada ya kukabidhi vifaa vya ujenzi[picha na Lennox mwamakula] RUNGWE-MBEYA Na Lennox mwamakula Ili kukamilisha ujenzi wa…

26 December 2023, 9:51 am

Uwt wainuana kiuchumi mkoa wa Mbeya

katika kuhakikisha wanawake wanajikwamua kichumi jumuiya ya wanawake ya chama cha mapinduzi mkoa wa mbeya wanatarajia kuanzisha saccos. RUNGWE-MBEYA Mwenyekiti wa chanma cha Mapinduzi mkoa wa Mbeya Patric Mwalunenge ametoa ushauri kwa Jumuiya ya  umoja Tanzania [UWT] mkoa wa Mbeya…

24 December 2023, 9:47 am

Mavazi yasiyo na staha yapigwa marufuku Rungwe

Moja ya sababu iliyo tajwa kupolomoka kwa maadili ni pamoja na kuigwa kwa tamaduni za nje,hivyo jamii imeshauriwa kudumisha utamaduni wa maeneo yao. Na lennox Mwamakula Wananchi wa kijiji cha Mbaka kilichopo kata ya Kisiba wamemwomba Mbunge wa jimbo la…

17 December 2023, 10:59 am

Tulia asambaza ujumbe wa upendo kwenye jamii

katika kuhakikisha jamii inakuwa na usawa Taasisi ya Tulia Trust imeendelea kukipinda bendera ya yenye ujumbe wa upendo na kwa kuwatembelea watu wenye mahitaji mbalimbali wirayani Rungwe. Afisa Habari wa Taasisi ya Tulia Ttrust Joshua Mwakanolo akiwa na vijana pamoja…

Kuhusu Chai FM

Chai FM radio ni radio inayomilikiwa na Umoja wa wakulima wa Chai Rungwe, Ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha mkulima wa Chai wilaya ya Rungwe anapata taarifa sahihi ambazo zitasaidia kuendeleza zao la Chai pamoja na shughuli zake za kiuchumi, Elimu na Kijamii.

Uwepo wa radio Chai FM umesaidia mkulima wa zao la Chai wilaya ya Rungwe kupata taarifa kwa wakati zinazohusu zao la chai na mwenendo wake pamoja na elimu juu ya kilimo biashara kwa zao la chai na mazao mengine pamoja na ufugaji.

Hii ni kutokana na uguu wa kufikisha taarifa ya masuala ya kilimo kwa wakulima wa chai jiografia ya wilaya ikiwa ni kikwazo kwa wakulima kupata taarifa mbalimbali za ndani na nje ya wilaya pamoja na mpango wa kilimo endelevu.

Dira

Kuona jamii ya wakulima na wafugaji wa wilaya ya Rungwe wanakuwa na maisha bora

Dhamira

Kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wa ndani na nje ya Wilaya ya Rungwe kuelimisha na kutoa taarifa za kilimo, mifugo, biashara,viwanda na habari za kijamii kupitia vipindi vya redio.

Chai Fm Radio inasikika maeneo tofauti kama ifuatavyo

Mkoa wa Mbeya – Wilaya za Rungwe, Busokelo, Kyela, na Mbeya Vijijini kwa baadhi ya maeneo

Mkoa wa Njombe – Wilaya za Makete, Ludewa

Mkoa wa Songwe – Wilaya za Ileje na Songwe kwa baadhi ya maeneo

Mkoa wa Ruvuma – Wilaya za Mbinga na Nyasa.

Lakini pia chai Fm inapatikana ukiwa popote duniani kupitia radiotadio.co.tz/chaifm/