Joy FM

Migogoro ya ndoa inavyoathiri mustakabali wa elimu kwa watoto Kigoma

26 June 2026, 13:02

Baadhi ya watoto wanaoishikatika mazingira hatari wakiwa mtaani, Picha na Mtandao

Ndoa ni msingi muhimu wa familia na jamii kwa ujumla na familia yenye amani hujenga mazingira mazuri ya malezi na maendeleo ya watoto, hata hivyo, migogoro katika ndoa imekuwa ikiongezeka kutokana na sababu mbalimbali

Sababu za kiuchumi, mawasiliano duni, maadili na tabia zisizofaa, pamoja na mabadiliko ya kijamii, ni miongoni mwa visababishi vinavyochangia kuwepo kwa migogoro katika ndoa na migogoro hiyo huathiri ustawi wa familia na, wakati mwingine, husababisha baadhi ya watoto kushindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto zinazojitokeza nyumbani

Sauti ya Mwanahabari wetu Filbert Gabriel