Joy FM

Mikopo umiza ilivyo mwiba kwa wananchi Kasulu

22 April 2026, 14:57

Baadhi ya wananchi wa Nyansha Kasulu wakiwa katika mkutano, Picha na Hagai Ruyagila

Kujiepusha na mikopo ya kausha damu kunasaidia kulinda uhuru wa kifedha, afya ya akili, na heshima ya mtu binafsi.

Na Michael Mpunije

Wenyeviti wa Serikali za mitaa katika Kata ya Nyansha halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kutoa elimu kwa wananchi wao kujiepusha na mikopo umiza maarufu kausha damu ambayo imekuwa ikiathiri malengo yao na kuwarudisha nyuma Kiuchumi hasa wanaposhindwa kulipa madeni.

Sauti ya Michael Mpunije