Radio Tadio

mikopo

6 October 2026, 12:33 am

4,083 kufanya mtihani wa taifa darasa la nne Babati TC

Jumla ya wanafunzi 4,083 katika Halmashauri ya Mji Babati wameanza kufanya Mtihani wa Upimaji wa Taifa wa Darasa la Nne (SFNA), unaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 6, 2026. Na Mzidalfa Zaid wakati mtihani wa darasa la nne ukiwa unaendelea nchini…

14 August 2026, 3:50 pm

GGML, JKCI mguu sawa kunusuru watoto wenye magonjwa ya moyo

Jumla ya watoto 300 wanatarajiwa kunufaika kupitia mpango huo wa matibabu ambapo Geita Gold Mining Limited (GGML) itafadhili jumla ya shilingi Bilioni 1.2 kwa muda wa miaka mitatu. Na: Ester Mabula Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Taasisi…

27 November 2023, 14:11

Majengo waeleza kunufaika na mikopo

Uwepo wa Taasisi za kifedha zinazojihusisha na utoaji wa mikoo kwa wajasiliamali imechangia kukuza biashara zao na kupata kipato cha kuendesha familia. Na Khadija Ibrahim. Wafanyabiashara katika soko kuu la majengo Jijini Dodoma wameeleza kunufaika kiuchumi kutokana na mikopo inayotolewa…

18 July 2023, 18:30

Wananchi waeleza umuhimu na faida za vikundi

Baada ya kuwepo kwa mfululizo wa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kujiunga katika vikundi mbalimbali vya kuweka na kukopa sasa wananchi wameelewa umuhimu wa vikundi hivyo . Na Aisha Shaban. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameeleza juu ya…

16 July 2023, 12:28 pm

Masaburi: urasimu chanzo kusitishwa mikopo ya halmashauri

Urasimu chanzo cha kusitishwa kwa mikopo ya asilimia kumi kutoka mapato ya ndani ya halmashauri ambapo serikali inaandaa mfumo mwwingine ambao makundi ya akina mama vija na wenye ulemavu watatumia kupata fedha hizo. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa serikali imeamua…

30 March 2023, 18:14

Vijana wazungumzia changamoto za mikopo halmashauri

Vijana hao wamesema kuwa kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa kwani wanatumia muda mwingi kufuatilia fedha hizo. Na Victor Chigwada .    Baadhi  ya vijana wa  kutoka Wilaya ya Chamwino wamezungumzia changamoto wanazozipata katika Halmashauri  pindi wanapoenda kuchukua mikopo inayotengwa na serikali…

3 February 2023, 14:47

Vijana na wanawake washindwa kurejesha mikopo ya halmashauri

Wanawake na Vijana wanatakiwa wapate elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri ili wafanye marejesho kwa wakati. Na Ansigary Kimendo Kutokuwepo kwa elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri imetajwa kuwa chanzo…

16 November 2022, 12:19

Ukubwa wa riba kikwazo kwa wakopaji mikopo

Na; Eva Enock. Imeelezwa kuwa ukubwa wa riba pamoja na elimu juu ya matumizi sahihi ya fedha za mikopo ni miongoni mwa sababu zinazopelekea baadhi ya watu kushindwa kurejesha mikopo. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi jijini Dodoma wakati wakizungumza…