Joy FM

RMO Kigoma ataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ebola

13 June 2026, 13:29

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dkt. Damas Katera, Picha na Emmanuel Kamangu

Licha ya elimu ya kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kuendelea kutolewa bado ugonjwa wa Ebola haujaripotiwa kuwepo nchini Tanzania

Na Emmanuel Kamangu

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dkt. Damas Kayera ameendelea kutoa rai kwa wananchi mkoani Kigoma kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

Sauti ya Mwandishi wetu Emmanuel Kamangu