Joy FM

Msichana wa miaka 21 afanyiwa ukatili Bitale Kigoma

23 October 2023, 12:56

Wasichana watatu waeleza walivyofanyiwa ukatilii wa kingono na watu walikuwa wakiwahudumia, Picha Tryphone Odace

Na Tryphone Odace

Wasichana wawili Katika kijiji cha Bitale, halmashauri ya wilaya Kigoma wameiomba serikali kuwachukulia hatua za kisheria vijana watatu ambao wamewafanyia ukatilii kwa kuwabaka  kwa nyakati tofauti katika kijiji hicho, huku mmoja wao akiwa amebakwa na wanaume watatu kwa wakati mmoja.

Simulizi ya Tryphone Odace kuhusu msichana aliyefanyiwa ukatilii wa kingono na wanaume watatu katika kijiji cha Bitale Kata ya Bitale Wilayani Kigoma