Joy FM
Joy FM
31 July 2026, 16:02
Msaada huo ni sehemu ya Jshi hilo kuendelea kuimarisha ukaribu na ushirikiano kwa jamii. Na Hagai Ruyagila Jeshi la Polisi Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma limetoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo sabuni, mafuta ya kujipaka na kanga nguo, kwa wagonjwa…
31 July 2026, 15:45
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma SACP Filemoni Makungu amewataka wananchi Mkoani Kigoma kuendelea kutoa taarifa za vitendo vya uhalifu na wahalifu Na Dotto Josephati Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kudumisha amani na kushirikiana katika maeneo yao ili kuhakikisha…
31 July 2026, 13:13
Mradi huu umeacha urithi wa miundombinu na huduma muhimu ambazo zikiendelea kusimamiwa vizuri na Serikali pamoja na wananchi, zitaendelea kunufaisha jamii kwa miaka mingi ijayo. Na Mwandishi Wetu Shirika la World Vision Tanzania kwa ufadhili wa shirika la World Vision…
30 July 2026, 16:24
Serikali imeendelea kuboresha miradi ya maendeleo na kufikisha huduma bora kwa wananchi ambapo wametakiwa kuitunza ili iweze kudumu Na Mwandishi wetu Wananchi wa Wilaya ya Kakonko wanatarajia kupata huduma bora zaidi za afya, elimu na biashara kufuatia hatua nzuri ya…
30 July 2026, 12:39
Katibu tawala wa Wilaya ya Kasulu Bi. Teresia Mtewele amewataka madiwani kuhakikisha wanatoa taarifa za miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao ili wananchi waweze kuifahamu Na Emmanuel Kamangu Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wametakiwa kuhakikisha wanajitahidi kutoa…
30 July 2026, 10:28
Viongozi wa dini wametakiwa kuendelea kuhimiza jamii na waumini wao kusimamia maadili mema ili kujenga kizazi chema Na Hagai Ruyagila Serikali ya Mkoa wa Kigoma imesema inaendelea kutambua mchango mkubwa wa taasisi za dini katika kujenga taifa lenye maadili mema,…
30 July 2026, 09:33
Wafanyabiashara wadogo wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kutumia vyema fursa za kiuchumi wanazopewa ili kujikwamua kiuchumi na kujipatia maendeleo endelevu kwa ustawi wa jamii ikiwa ni pamoja na kuwawezesha wanawake kiuchumi na kuwapatia vifaa wezeshi kwa ajili…
27 July 2026, 11:24
Usafi wa mazingira ni jambo muhimu katika maisha ya kila siku na mazingira safi huchangia afya bora ya watu, huongeza ustawi wa jamii, na husaidia kuzuia kuenea kwa magonjwa Na Hagai Ruyagila Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani…
24 July 2026, 14:06
Mpango wa mikopo ya asilimia 10 umeendelea kuwa chachu ya maendeleo ya vikundi kwa kuongeza mtaji, kuimarisha shughuli za kiuchumi, kuongeza ajira na kipato cha wanachama, pamoja na kuboresha ustawi wa familia na jamii kwa ujumla. Na Hagai Ruyagila Halmashauri…
24 July 2026, 09:51
Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yana mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii kupitia utoaji wa huduma za afya, elimu, mazingira, kilimo, haki za binadamu na sekta nyingine nyingi hata hivyo, mashirika mengi yamekuwa yakitegemea fedha kutoka kwa wafadhili wa nje,…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.