Joy FM
90.5 MHz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
0622097953
radiojoy@radiojoy.co.tz
https://radiojoyfm.co.tz/
90.5 MHz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
0622097953
radiojoy@radiojoy.co.tz
https://radiojoyfm.co.tz/
Uboreshwaji wa soko lolote kunachochea ukuaji wa biashara ndogo na za kati, kuongeza ajira, pamoja na kuinua uchumi wa eneo husika. Na Hagai Ruyagila Wananchi wa Kata ya Heru Juu, Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma, wameiomba serikali kuboresha miundombinu…
8 September 2026, 01:16
Mradi wa maji Luhuru uliopo Wilayani Kakonko unaenda kuwa mwarobaini ya ukosefubwa maji kwa wananchi waliokuwa wakitembea umbali mrefu kufuata huduma za maji Na Mwandishi wetu Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Wazo Mwang’onda ametoa wito wa kuendelea…
8 September 2026, 01:02
Mwenge wa uhuru umewasili Mkoani Kigoma ambapo umepokelewa katika Halmashauri ya Wilaya Kakonko na unatarajia kutembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Mwandishi wetu Mwenge wa Uhuru umepokelewa na kuanzia mbio zake Mkoa wa…
7 September 2026, 14:04
Vijana wametakiwa kufanya kazi kwa bidi na kujishughulisha na kazi zitakazowaingia kipato ili kuepeuka utegemezi Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Isaac Mwakisu, amewataka vijana wa Halmashauri ya Mji Kasulu kujiandaa kwa ajili ya maisha…
5 September 2026, 14:28
Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni imepokea mashine kwa ajili ya watoto njiti kutoka taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imekabidhi mashine mbili maalum kwa ajili ya kusaidia utoaji…
2 September 2026, 13:42
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini mkoani Kigoma ameanzisha mashindano ya mpira wa miguu yenye lengo la mashindano hayo ni kukuza vipaji na kudumisha mshikamano miongoni mwa jamii. Na Sadick Kibwana Ligi ya mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe.…
2 September 2026, 13:14
Mwenge wa Uhuru ni miongoni mwa alama muhimu za kitaifa, ambazo hutumika kuhamasisha wananchi kuhusu masuala ya maendeleo, amani, umoja, uzalendo na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali…
1 September 2026, 15:54
Katika kuadhimisha miaka 20 ya Polisi jamii shughuli mbalimbali zimefanyika ikiwemo usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali huku Jeshi hilo likitoa wito kwa wananchi kushirikiana katika kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya Kasulu…
1 September 2026, 11:12
Miundombinu ya barabara ni sehemu muhimu katika maendeleo ya nchi kwani hutumika kusafirisha watu, bidhaa na huduma kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Na Hagai Ruyagila Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma, wameiomba serikali kupitia Wakala wa Barabara za…
31 August 2026, 14:01
Usafi wa mazingira ni jambo muhimu sana katika maisha ya kila siku ya binadamu. Mazingira safi ni yale ambayo hayana uchafu kama taka, maji machafu, vyakula vilivyooza na vitu vingine vinavyoweza kusababisha madhara kwa afya ya binadamu. Kila mtu ana…
31 August 2026, 11:59
Matumizi foliki na fefo kwa kufuata maelekezo ya mtaalamu wa afya husaidia kulinda afya ya mama na mtoto na kupunguza baadhi ya hatari wakati wa ujauzito. Na Emmanuel Kamangu Wanawake wajawazito katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu wametakiwa kutumia vizuri dawa …
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.