Joy FM

Recent posts

13 September 2026, 11:51

Mwenge wa uhuru wakagua na kuzindua miradi Kigoma MC

Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026 zimewasili katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mkoani Kigoma, ambapo Mwenge huo unatembelea, kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Lucas Hoha Ukiwa katika Manispaa ya Kigoma…

12 September 2026, 22:38

Mwang’onda ataka wahandisi kuimarisha usimamizi wa miradi Kigoma

Utekelezaji wa mradi huo unahusisha ujenzi wa vyumba nane vya madarasa, ofisi, jengo la utawala, maktaba, TEHAMA, maabara na matundu 13 ya vyoo Na Lucas Hoha Wanafunzi katika Kijiji cha Msimba, Kata ya Mugonya, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoa…

10 September 2026, 18:16

Huduma ya M-mama yapunguza vifo vya mama na mtoto

Afya ya mama na mtoto ni jambo muhimu katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla miongoni mwa changamoto zinazoweza kuhatarisha maisha ya wajawazito na watoto ni kuchelewa kupata huduma za afya, hasa pale ambapo mgonjwa anahitaji usafiri wa haraka…

10 September 2026, 13:21

Huu hapa mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya bil. 1 Nyamnyunsi

Kukamilika kwa mradi wa maji Nyamnyusi utasaidia kupunguza changamoto za wananchi kutembea umbali mrefu kutafuta huduma ya maji. Na Emmanuel Kamangu Mwenge wa uhuru 2026 umekagua na kuzindua  mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Bilion 1 katika kijiji…

10 September 2026, 11:12

Mwenge kutembelea miradi 7 ya zaidi ya bil. 37 Kasulu

Mwenge wa uhuru 2026 umeendelea na mbio zake katika Halmashauri ya mji wa Kasulu ambapo unatembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma, Mwl. Vumilia Julius Simbeye, amepokea Mwenge…

9 September 2026, 11:43

Miradi 13 kutembelewa na mwenge wa uhuru Kasulu

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2026 Wazo Mwang’onda amesema dhamira ya serikali ni kuhakikisha inaboresha miundombinu ya kutolea huduma muhimu kwa wananchi Na Hagai Ruyagila Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2026 umeanza mbio zake katika Wilaya ya…

8 September 2026, 01:16

Mwenge wa uhuru waridhishwa na mradi wa maji Luhuru Kakonko

Mradi wa maji Luhuru uliopo Wilayani Kakonko unaenda kuwa mwarobaini ya ukosefubwa maji kwa wananchi waliokuwa wakitembea umbali mrefu kufuata huduma za maji Na Mwandishi wetu Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Wazo Mwang’onda ametoa wito wa kuendelea…

8 September 2026, 01:02

Mwenge wa uhuru kuzinndua miradi ya bilioni 73.2 Kigoma

Mwenge wa uhuru umewasili Mkoani Kigoma ambapo umepokelewa katika Halmashauri ya Wilaya Kakonko na unatarajia kutembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Mwandishi wetu Mwenge wa Uhuru umepokelewa na kuanzia mbio zake Mkoa wa…

Radio JOY Profile

Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like

building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.

Missions

  • To be a voice to the voiceless
  • To influence behavior change from bad character to good character
  • To inspire Kigoma society to participate in development activities.
  • To create an awareness of local interests, views and cultures
  • To be a bridge of communication between government and society.

Visions

  • To bring Kigoma society together
  • To facilitate the sharing of information in Kigoma society.
  • To become a local radio that connects all people from different cultures to share their ideas and lifestyles.
  • To implement sustainable radio programs that improve access to information, and opportunity, and participate in and contribute to all aspects of life.

The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.

Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.