Joy FM
Joy FM
13 August 2026, 16:35
Ushirikiano kati ya serikali na wadau wa maendeleo husaidia kuchochea utoaji wa huduma kwa wananchi Na Mwandishi wetu Serikali ya Wilaya ya Kakonko imeendelea kuimarisha ushirikiano na mashirika yasiyo ya kiserikali kwa lengo la kuongeza ufanisi wa miradi ya maendeleo,…
13 August 2026, 14:52
Wadau wa maendeleo Manispaa ya Kigoma Ujiji wameeleza kuwa vijana hawana budi kujikita kwenye shughuli za uzalishaji mali zitakazowasaidia kujipatia kipato. Na Sadik Kibwana Vijana katikaa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mkoani Kigoma, wamehimizwa kujitambua, kulinda amani ya nchi na kuwa…
12 August 2026, 16:51
Wafanyabiashara na wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kutumia fursa ya huduma ya EMS ya Posta Tanzania kusafirisha mizigo na bidhaa kwenda mataifa mbalimbali duniani, ikiwemo Marekani, ili kukuza biashara na kuongeza kipato Na Lucas Hoha Shirika la Posta Tanzania limesema limeanza…
11 August 2026, 13:18
Watoto wa kikie wanatakiwa kuwekewa mazingira weshezeji kwa ajili kusoma na kutimiza ndoto zao. Na Hagai Ruyagila Taasisi ya Shukrani Foundation imetoa vifaa vya shule vyenye thamani ya shilingi milioni 3 kwa wasichana 50 wa shule za msingi na Sekondari…
8 August 2026, 17:51
Maonesho ya wakulima maarufu nane nane yamefungwa rasmi leo ambapo wananchi wamepata nafasi ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo teknolojia za kilimo huku Wilaya ya Uvinza ikiibuka kinara wa maonesho hayo kwa kundi la mamlaka ya serikali za mitaa. Na Mwandishi…
6 August 2026, 09:45
Ukatili wa kijinsia ni kitendo chochote kinachosababisha madhara ya kimwili, kingono, kisaikolojia au kiuchumi kwa mtu kutokana na jinsia yake na suluhu za kifamilia ni jitihada zinazofanywa na wanafamilia, wazee wa ukoo au viongozi wa jamii kutatua migogoro bila kutumia…
5 August 2026, 14:01
Uhamiaji haramu ni kitendo cha mtu kuingia, kuishi au kufanya kazi katika nchi fulani bila kufuata taratibu na sheria zilizowekwa na nchi hiyo na tatizo hili limekuwa katika sehemu mbalimbali duniani kutokana na sababu kama vile ukosefu wa ajira, umaskini,…
5 August 2026, 12:52
Kongamano hilo limeelezwa kuwa sehemu ya juhudi za Kanisa la PEFA kuwawezesha wanawake kwa kuwapa maarifa ya ujasiriamali, usimamizi wa fedha na mbinu za kujitegemea kiuchumi Na Lucas Hoha Wanawake wa Kanisa la Pentecostal Evangelistic Fellowship of Africa (PEFA) Mkoa…
5 August 2026, 09:59
Watumishi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji KUWASA wametakiwa kuharakisha zoezi la kubaini, kuondoa na kudhibiti miundombinu ya zamani inayopitisha maji katika maeneo mbalimbali ya wananchi Na Mwandishi wetu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka…
4 August 2026, 10:43
Kwa matokeo hayo ya asilimia 100 ya ufaulu wa kidato cha sita, Halmashauri ya Mji Kasulu inaendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha sekta ya elimu na kuzalisha wahitimu wenye uwezo wa kuchangia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla Na…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.