Joy FM
Joy FM
15 July 2026, 16:58
Mfumo wa Upimaji wa Utendaji Kazi kwa Watumishi wa Umma (PEPMIS) ni mfumo wa kidijitali unaotumika kuwasaidia watumishi wa umma kupanga, kutekeleza, kufuatilia na kutathmini utendaji wao wa kazi na mfumo huu umeanzishwa ili kuongeza uwajibikaji, uwazi na ufanisi katika…
15 July 2026, 12:54
Biashara ni nguzo muhimu ya maendeleo ya wananchi na uchumi wa taifa. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Mkoa wa Kigoma, wanawake wengi hujishughulisha na biashara ya chumvi kama njia ya kujipatia kipato na kukidhi mahitaji ya familia zao. Hata…
15 July 2026, 09:02
Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla na kupitia elimu, jamii hupata maarifa, ujuzi na maadili yanayochangia maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, utekelezaji wa miradi ya elimu unahitaji rasilimali nyingi, utaalamu na ushirikiano…
14 July 2026, 15:25
Wazee ni hazina ya taifa na msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na wametumia nguvu, maarifa na uzoefu wao katika kujenga taifa na kulea vizazi mbalimbali kutokana na mchango wao mkubwa, serikali ina wajibu wa kuhakikisha wanapata huduma na ulinzi…
14 July 2026, 15:03
Ushiriki wa wananchi katika miradi ya maendeleo inasaidia katika ulinzi wake na hata kusonga mbele Na Mwandishi wetu Zaidi ya wananchi 3,000 wa Kata ya Mwayaya, Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wamejitolea kufyatua matofali kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa miradi…
14 July 2026, 13:03
Kiongozi anapopewa jukumu la kusimamia rasilimali za wanachama, anapaswa kufanya hivyo kwa uwazi na uaminifu na fedha zinazotokana na shughuli za chama zinapaswa kugawanywa kwa haki kulingana na taratibu zilizowekwa Na Mwandishi wetu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa…
13 July 2026, 16:06
Programu ya uongozi wa kitaaluma (Mentorship Programme) kwa waandishi wa habari wanawake ni hatua muhimu katika kuimarisha taaluma ya uandishi wa habari nchini kwani waandishi wanapata nafasi ya kujifunza kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu, jambo linalowawezesha kuongeza ujuzi, kujiamini na…
11 July 2026, 12:13
Wananchi na wafanyabiashara katika masoko mbalimbali yaliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuchukua tahadhali ya moto wawapo katika shughuli zao za kila siku ili kuepuka kuwa chanzo cha majanga ya moto. Na Hagai Ruyagila Zaidi ya…
10 July 2026, 16:38
Huduma bora za afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na kuanzishwa kwa huduma za upasuaji katika Hospitali ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ni hatua kubwa inayoonyesha jitihada za Serikali katika kuboresha sekta ya afya na kusogeza huduma karibu…
10 July 2026, 11:07
Utekelezaji wa mradi wa kituo cha pamoja cha forodha unatajwa kuchochea na kukuza uchumi wa wananchi wa pande zote mbili Tanzania na Burundi. Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amemuagiza Mkandarasi wa ujenzi wa mradi…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.