Joy FM
Joy FM
8 May 2026, 14:31
Halmashauri ya Mji wa Kasulu mKoani Kigoma imeendelea kufanya vizuri katika usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini uongozi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Mwl. Vumilia Simbeye Na Mwandishi wetu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kasulu,…
8 May 2026, 13:12
Ukarabati wa barabara ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa kwa sababu unaongeza ukuaji wa uchumi, huboresha huduma za jamii, na kuinua maisha ya wananchi Na Hagai Ruyagila Madiwani wa kata za Murusi, Mganza, Herujuu na Murufiti katika halmashauri ya…
8 May 2026, 09:25
Mfumo huo unasaidia kufuatilia matumizi ya fedha, mapato na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa njia ya kidigitali, hivyo kuongeza uwazi na kupunguza makosa au upotevu wa fedha za umma Na Mwandishi wetu Wakuu wa Divisheni na Vitengo, pamoja na…
8 May 2026, 09:07
Lishe ni mpangilio wa kula chakula chenye virutubisho vinavyohitajika mwilini kwa ajili ya afya na ukuaji bora, kwa mwanafunzi lishe bora ni jambo muhimu sana kwa sababu humsaidia kuwa na afya nzuri, uwezo mzuri wa kufikiri, na nguvu za kutekeleza…
7 May 2026, 12:34
Kikao hicho kinalenga kujadili namna bora ya kuendelea kushirikisha jamii katika masuala ya usalama na kuimarisha dhana ya polisi jamii katika maeneo yao. Na Mwandishi wetu Kamishna wa Polisi Jamii CP Alex Mkama leo Mei 7,2026 amewasili Mkoani Kigoma kwa…
7 May 2026, 10:53
Serikali wilayani Kibondo mkoani Kigoma kupitia Wizara ya Elimu imepongezwa kwa kukamilisha ujenzi wa shule mpya ya kisasa wilayani mbayo itasaidia wanafunzi kusoma kwa bidii. Na Mwandishi wetu Baraza la Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Mkoani Kigoma, limetoa…
7 May 2026, 10:26
Mivutano kati ya wasimamizi wa miradi inaweza kuathiri utekelezaji wa miradi kwa njia nyingi, hasa pale ambapo ushirikiano na mawasiliano yanapokuwa dhaifu. Na Mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma Kanali Aggrey Magwaza amewataka viongozi na wasimamizi wa…
7 May 2026, 09:39
Mapato ya halmashauri ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na utoaji wa huduma za kijamii kama vile elimu, afya, maji, na miundombinu, Halmashauri hukusanya mapato kupitia ushuru, ada mbalimbali, na tozo zinazolipwa na wananchi pamoja na wafanyabiashara. Na Dotto…
7 May 2026, 09:05
Katibu tawala Wilaya ya Kasulu BI. Therezia Mtewele amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa biidi na weledi na mshikamano katika kuwahudumia wananchi ili kuweza kufanikisha mipango ya kuwahudumia wananchi Na Mwandishi wetu Halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma…
6 May 2026, 14:18
Wananwake katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamwetakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazowazunguka hasa katika kilimo na uvuvi ili waweze kujikwamua kiuchumi Na Mwandishi wetu Katibu Tawala wa Wilaya Mganwa Nzota amezindua rasmi jukwaa la uwezeshaji wanawake Kiuchumi ngazi…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.