Joy FM

Recent posts

26 May 2026, 14:01

Wajumbe kamati ya usalama Kigoma wakagua miradi ya maendeleo Kakonko

Maendeleo ya jamii yoyote hutegemea uwepo wa miradi mbalimbali kama vile barabara, shule, hospitali, miradi ya maji na umeme na miradi hii huhitaji usimamizi mzuri ili iweze kutekelezwa kwa ufanisi na kutoa huduma bora kwa wananchi. Na Mwandishi wetu Wajumbe…

25 May 2026, 09:49

DC Kasulu ataka wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Ebola

Ugonjwa wa Ebola ni hatari kubwa kwa sababu husababishwa na virusi vinavyoenea kwa haraka kupitia kugusana na majimaji ya mwili wa mtu aliyeambukizwa kama damu, mate, jasho, mkojo au matapishi Na Hagai Ruyagila Mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanali Isaac…

25 May 2026, 08:01

Mbunge aeleza 600m kukamilisha kituo cha afya Uvinza

Afya ni msingi muhimu katika maisha ya mwanadamu na jamii yenye watu wenye afya bora huwa na maendeleo mazuri kiuchumi, kijamii na kielimu Na Timotheo Leonard Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, Nuru Issa Kashakari, amewashukuru wananchi wa Kijiji cha…

23 May 2026, 13:23

Vibanda 9 vya biashara vyateketea kwa moto Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amekagua kisha kuzungumza na wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao katika soko la Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji, kufuatia kuungua kwa baadhi ya vibanda vya biashara visivyo vya kudumu, vilivyojengwa jirani na soko hilo.…

22 May 2026, 10:30

RC Sirro afungua maonesho ya biashara Tanzania na Burundi

Maonesho ya biashara ni mikusanyiko inayowakutanisha wafanyabiashara, wazalishaji, wanunuzi na wananchi kwa lengo la kuonyesha bidhaa na huduma mbalimbali Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amezitaka mamlaka za kibiashara za Tanzania na Burundi kushughulikia changamoto…

22 May 2026, 09:15

Makundi maalum yatakiwa kuchangamkia tenda za serikali Uvinza

Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imeendelea kuchukua hatua za kuongeza ushiriki wa makundi maalum katika zabuni na tenda za serikali kupitia mfumo wa manunuzi ya umma wa NeST, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuwawezesha wanawake, vijana, wazee na watu…

21 May 2026, 15:08

Askofu ataka wazazi kupeleka watoto shule

Elimu huwasaidia watoto kupata maarifa, maadili na stadi za maisha zinazowawezesha kujitegemea na kuwa na maisha bora ya sasa na ya baadaye na watoto wanaopata elimu huwa na nafasi kubwa ya kupata ajira, kupunguza umaskini na kuchangia maendeleo ya familia,…

21 May 2026, 12:27

NEST daraja la mafanikio kwa wajasiriamali Kigoma

Mfumo wa NEST ni mfumo wa kielektroniki unaotumiwa na serikali kusimamia zabuni mbalimbali za umma na kupitia mfumo huu, wajasiriamali wanaweza kuona matangazo ya zabuni, kutuma maombi na kufuatilia taarifa mbalimbali zinazohusu manunuzi ya serikali kwa njia ya mtandao NEST…

21 May 2026, 11:28

RAS Kigoma aagiza matumizi sahihi ya mifumo ya Serikali

Matumizi sahihi ya mifumo ya serikali ni jambo muhimu katika kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo na Serikali imekuwa ikiweka mifumo ya kisasa ya usimamizi wa fedha na manunuzi ili kurahisisha utendaji kazi, kudhibiti…

21 May 2026, 08:44

GCF yaanza kutoa elimu ya uhifahi wa mazingira Kigoma

Mabadiliko ya tabianchi ni changamoto kubwa inayokabili dunia kwa sasa na athari zake zimeonekana kupitia ongezeko la ukame, uharibifu wa mazingira, kupungua kwa misitu na kuharibika kwa ardhi Na Emmanuel Kamangu Serikali kupitia mfuko wa dunia wa mabadiliko ya tabianchi…

Radio JOY Profile

Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like

building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.

Missions

  • To be a voice to the voiceless
  • To influence behavior change from bad character to good character
  • To inspire Kigoma society to participate in development activities.
  • To create an awareness of local interests, views and cultures
  • To be a bridge of communication between government and society.

Visions

  • To bring Kigoma society together
  • To facilitate the sharing of information in Kigoma society.
  • To become a local radio that connects all people from different cultures to share their ideas and lifestyles.
  • To implement sustainable radio programs that improve access to information, and opportunity, and participate in and contribute to all aspects of life.

The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.

Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.