Joy FM
Joy FM
15 May 2026, 15:27
Mikopo ni mojawapo ya njia muhimu zinazosaidia maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika jamii kwa makundi tofauti ya watu ili kuwawezesha kujiletea maendeleo na miongoni mwa makundi yanayonufaika sana na mikopo ni wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Na Hagai…
15 May 2026, 14:13
Wazazi wana jukumu kubwa la kuhakikisha watoto wao wanalelewa katika mazingira bora yenye maadili mema na usalama na njia muhimu ya kutimiza jukumu hilo ni kufuatilia mienendo ya watoto wao kwani kujua mienendo ya watoto huwasaidia wazazi kuhakikisha usalama wa…
14 May 2026, 16:04
Ukosefu wa maji huathiri shughuli za kiuchumi za wananchi na hushindwa kufanya shughuli zao kwa ufanisi kutokana na upungufu wa maji Na Mwandishi wetu Wananchi wa Kijiji cha Kasuku Kata ya Simbo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamelalamikia ukosefu wa…
14 May 2026, 13:11
Serikali pamoja na wadau wa elimu wameendelea kuchukua juhudi mbalimbali za kuboresha sekta ya elimu nchini Tanzania na miongoni mwa juhudi hizo ni utoaji wa zana za ufundishaji na ujifunzaji Na Tresipholi Odace Walimu wakuu katika Halmashauri ya Wilaya ya…
14 May 2026, 10:55
Halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa shedi mpya kwa ajili ya wafanyabiashara wa mchele katika Soko la Sofya, mradi unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi milioni 59. Biashara ni shughuli muhimu inayosaidia kukuza…
13 May 2026, 15:19
Mbunge wa jimbo la Kigoma Kusini Mhe. Nuru Issa Kashakari maarufu Kandahari amewataka wananchi wa jimbo hilo kutokata tamaa huku akiahidi kupambana hadi kupatikana kwa barabara ya lami kutoka Simbo kwenda Kalya kwani ujenzi wa miundombinu hiyo ni moja ya…
13 May 2026, 12:50
Baraza la watoto lina mchango mkubwa katika kuhakikisha watoto wanaishi katika mazingira salama, yenye upendo na heshima kwa haki zao Na Tresipholi Odace Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na World Vision, imefanya…
12 May 2026, 16:16
Mapato yanasaidia utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo ujenzi na uboreshaji wa miundombinu, utoaji wa huduma za kijamii, pamoja na kuongeza ufanisi wa huduma kwa wananchi. Na Hagai Ryagila Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma imefanikiwa kukusanya zaidi ya…
12 May 2026, 09:48
Makanisa yana umuhimu mkubwa wa kuanzisha miradi ya kuongeza kipato kwa sababu yanasaidia kuimarisha huduma za kiroho na maendeleo ya jamii kwa ujumla Na Hagai Ruyagila Katika jitihada za kusaidia kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini, Dayosisi ya…
11 May 2026, 13:18
Ufugaji wa samaki kwenye vizimba ni njia muhimu ya kuwawezesha vijana kiuchumi, kuongeza ajira, na kuchangia maendeleo ya jamii na taifa. Na Mwandishi wetu Baadhi ya wafugaji wa samaki Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wameiomba jamii Wilayani humo kuendelea kuthamini na…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.