Joy FM

Recent posts

7 May 2026, 10:53

Baraza la kata Kibondo lapongeza serikali ujenzi shule ya kisasa Nyabwai

Serikali wilayani Kibondo mkoani Kigoma kupitia Wizara ya Elimu imepongezwa kwa kukamilisha ujenzi wa shule mpya ya kisasa wilayani mbayo itasaidia wanafunzi kusoma kwa bidii. Na Mwandishi wetu Baraza la Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Mkoani Kigoma, limetoa…

7 May 2026, 10:26

DC Kibondo ataka wasimamizi wa miradi kuepuka mivutano

Mivutano kati ya wasimamizi wa miradi inaweza kuathiri utekelezaji wa miradi kwa njia nyingi, hasa pale ambapo ushirikiano na mawasiliano yanapokuwa dhaifu. Na Mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma Kanali Aggrey Magwaza amewataka viongozi na wasimamizi wa…

7 May 2026, 09:39

Watendaji watakiwa kusimamia mawakala wanaokusanya mapato Kibondo

Mapato ya halmashauri ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na utoaji wa huduma za kijamii kama vile elimu, afya, maji, na miundombinu, Halmashauri hukusanya mapato kupitia ushuru, ada mbalimbali, na tozo zinazolipwa na wananchi pamoja na wafanyabiashara. Na Dotto…

7 May 2026, 09:05

Watumishi wa umma watakiwa kufanya kazi kwa weledi Kasulu

Katibu tawala Wilaya ya Kasulu BI. Therezia Mtewele amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa biidi na weledi na mshikamano katika kuwahudumia wananchi ili kuweza kufanikisha mipango ya kuwahudumia wananchi Na Mwandishi wetu Halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma…

6 May 2026, 14:18

Wanawake watakiwa kuchangamkia fursa kujikwamua kiuchumi Kigoma

Wananwake katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamwetakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazowazunguka hasa katika kilimo na uvuvi ili waweze kujikwamua kiuchumi Na Mwandishi wetu Katibu Tawala wa Wilaya Mganwa Nzota amezindua rasmi jukwaa la uwezeshaji wanawake Kiuchumi ngazi…

6 May 2026, 12:41

DAS Kasulu ataka wanufaika mikopo ya 10% kuirejesha kwa wakati

Kamati ya Uhakiki wa mikopo ya asilimia 10 katika Wilaya ya Kasulu imefanya zoezi la kuhakiki vikundi mbalimbali vilivyowasilisha maombi ya mikopo kupitia Halmashauri ya Wilaya hiyo, kwa ajili ya kutolewa katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa…

5 May 2026, 13:52

Madiwani waagiza ununuliwe mtambo kuchonga barabara Kigoma

Kutokana na barabara nyingi za Manispaa ya Kigoma Ujiji kuharibika kutokana na mvua, Madiwani katika manispaa hiyo wameagiza ofisi ya mkurugenzi kununua mtambo kwa ajili ya ukarabati wa barabara hizo. Na Mwandishi wetu Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji inapanga…

4 May 2026, 16:36

Watumishi wa umma watakiwa kuwa wadilifu Kigoma

Wananchi Mkoani Kigoma wamepongeza watumishi wa umma kwa kujitoa kikamilifu kuhakikisha Jamii inapata huduma bora ikiwemo elimu na afya hali ambayo imesaidia kuondoa migogoro iliyokuwa inatokana na kukosa huduma kwa wakati. Na Hagai Ruyagila Watumishi wa sekta ya umma na…

1 May 2026, 16:08

TALGWU yaomba serikali kurekebisha sheria za utumishi wa umma

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Mkoani Kigoma limeiomba Serikali kufanya marekebisho ya sheria za utumishi wa umma ili kuondoa mkanganyiko uliopo kati ya sheria hiyo na Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, hususan katika suala la uwasilishwaji wa migogoro ya…

1 May 2026, 09:49

Kambi ya wakimbizi Nduta Kibondo imefungwa rasmi

Serikali imefunga rasimi Kambi iliyokuwa inahifadhi wakimbizi kutoka Nchini Burundi Nduta, iliyoko Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma, ikiwa ni baada ya Wakimbizi kulejea katika Nchi yao ya asili kwa hiyari na kuungana na ndugu zao. Na Mwandishi wetu Waziri wa Mambo…

Radio JOY Profile

Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like

building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.

Missions

  • To be a voice to the voiceless
  • To influence behavior change from bad character to good character
  • To inspire Kigoma society to participate in development activities.
  • To create an awareness of local interests, views and cultures
  • To be a bridge of communication between government and society.

Visions

  • To bring Kigoma society together
  • To facilitate the sharing of information in Kigoma society.
  • To become a local radio that connects all people from different cultures to share their ideas and lifestyles.
  • To implement sustainable radio programs that improve access to information, and opportunity, and participate in and contribute to all aspects of life.

The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.

Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.