Joy FM

Recent posts

12 May 2026, 09:48

Kanisa lanunua magari kuimarisha uchumi wa kanisa Kasulu

Makanisa yana umuhimu mkubwa wa kuanzisha miradi ya kuongeza kipato kwa sababu yanasaidia kuimarisha huduma za kiroho na maendeleo ya jamii kwa ujumla Na Hagai Ruyagila Katika jitihada za kusaidia kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini, Dayosisi ya…

11 May 2026, 13:18

UNDP, SIDO zawainua wafugaji samaki Kibondo

Ufugaji wa samaki kwenye vizimba ni njia muhimu ya kuwawezesha vijana kiuchumi, kuongeza ajira, na kuchangia maendeleo ya jamii na taifa. Na Mwandishi wetu Baadhi ya wafugaji wa samaki Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wameiomba jamii Wilayani humo kuendelea kuthamini na…

11 May 2026, 08:45

Waziri Ndejembi achukizwa mradi wa umeme kukwama Kigoma

Waziri wa Nishati Deogratius Ndejembi ameeleza kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme katika Mto Malagarasi Wilaya ya Uvinza unaotekelezwa na kampuni ya DONGFANG Electric International Corporationo (DEC). Na Mwandishi wetu Waziri wa Nishati Deogratius Ndejembi, ameliagiza Shirika la…

8 May 2026, 15:55

CP Mkama asisitiza ushirikiano wa Polisi na jamii Kigoma

Viongozi wa Serikali za mitaa na viongozi wa dini wametakiwa kushirikiana na Polisi katika kuhamasisha ulinzi shirikishi ili kudhibiti uhalifu kwenye jamii Na Esperance Ramadhan Kamishna wa Polisi Jamii Nchini CP Alex Mkama ameitaka jamii kuendelea kushirikiana na Jeshi la…

8 May 2026, 14:31

Mwenyekiti CCM apongeza DED utekelezaji wa miradi Kasulu

Halmashauri ya Mji wa Kasulu mKoani Kigoma imeendelea kufanya vizuri katika usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini uongozi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Mwl. Vumilia Simbeye Na Mwandishi wetu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kasulu,…

8 May 2026, 13:12

Madiwani waagiza serikali kukarabati barabara Kasulu

Ukarabati wa barabara ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa kwa sababu unaongeza ukuaji wa uchumi, huboresha huduma za jamii, na kuinua maisha ya wananchi Na Hagai Ruyagila Madiwani wa kata za Murusi, Mganza, Herujuu na Murufiti katika halmashauri ya…

8 May 2026, 09:25

Watendaji wanolewa mfumo IFTMIS kuimarisha ujibuji wa hoja Kasulu

Mfumo huo unasaidia kufuatilia matumizi ya fedha, mapato na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa njia ya kidigitali, hivyo kuongeza uwazi na kupunguza makosa au upotevu wa fedha za umma Na Mwandishi wetu Wakuu wa Divisheni na Vitengo, pamoja na…

7 May 2026, 12:34

CP Mkama ataka usalama wa raia na mali zao kuimarishwa Kigoma

Kikao hicho kinalenga kujadili namna bora ya kuendelea kushirikisha jamii katika masuala ya usalama na kuimarisha dhana ya polisi jamii katika maeneo yao. Na Mwandishi wetu Kamishna wa Polisi Jamii CP Alex Mkama leo Mei 7,2026 amewasili Mkoani Kigoma kwa…

Radio JOY Profile

Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like

building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.

Missions

  • To be a voice to the voiceless
  • To influence behavior change from bad character to good character
  • To inspire Kigoma society to participate in development activities.
  • To create an awareness of local interests, views and cultures
  • To be a bridge of communication between government and society.

Visions

  • To bring Kigoma society together
  • To facilitate the sharing of information in Kigoma society.
  • To become a local radio that connects all people from different cultures to share their ideas and lifestyles.
  • To implement sustainable radio programs that improve access to information, and opportunity, and participate in and contribute to all aspects of life.

The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.

Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.