Joy FM

Recent posts

30 April 2026, 13:05

Joy Fm yaadhimisha miaka 10 kwa kupanda miti Kigoma

Tukio hilo limebeba ujumbe mzito wa utunzaji wa mazingira na uhamasishaji wa jamii kushiriki katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi Na Mwandishi wetu Katika kuadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwa Redio Joy FM, uongozi wa redio hiyo umeungana na viongozi…

30 April 2026, 11:40

Madiwani waomba serikali kutatua changamoto za wananchi Kigoma

Baraza la madiwani katika Manispaa ya Kigoma Ujiji limeketi kwa ajili ya kupokea taarifa za Kata na baraza hilo limehudhuriwa na kamati ya Ulinzi na Usalama, viongozi wa vyama vya siasa, wakuu wa Idara na vitengo, watendaji wa Kata, waandishi…

30 April 2026, 10:23

Wahitimu kidato cha sita waaswa kuwa na maadili mema Kasulu

Maadili mema ni mwongozo muhimu katika maisha ya kila siku ya mwanafunzi kwani huakisi tabia njema kama nidhamu, uaminifu, heshima, na bidii kwa mwanafunzi mwenye ndoto ya kufanikiwa maishani, maadili haya huwa nguzo kuu inayomsaidia kufikia malengo yake. Na Hagai…

29 April 2026, 13:27

Diwani alia wananchi kukosa bima ya afya bure Kasulu

Serikali katika Halmashauri ya Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma imesema inaendelea kushirikiana ili kuhakikisha wanawapatia bima wananchi wote. Na Hagai Ruyagila Diwani wa Kata ya Heru Ushingo Mh Ezrom Ntegeye kutoka Halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ameomba kupatiwa ufafanuzi…

29 April 2026, 12:11

Vikundi 13 vya wenye ulemavu vyapatiwa mikopo Kakonko

Vikundi 13 vya walemavu vimepatiwa mkopo kati ya vikundi 23 ambavyo vimepatiwa mkopo wa halmashauri ya wilaya ya Kakonko katika robo ya pili ya mwaka wa fedha wa 2025/2026 Mkopo huo umetolewa ikiwa ni mkakati wa serikali wa kuviwezesha vikundi…

29 April 2026, 09:18

Wananchi wajitolea kutengeza barabara Buhigwe

Katika maeneo mengi ya Tanzania, hii huonekana kama nguvu kazi ambapo wananchi hukusanyika kusafisha, kujaza mashimo, au hata kuchimba mitaro na kutengeneza barabara ili kurahisha usafiri na usafirishaji. Na Mwandishi wetu Wakazi wa kitongoji cha Janda Juu kata ya Janda…

29 April 2026, 08:50

Madiwani Uvinza waagiza utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Maendeleo ni msingi wa maisha bora na ustawi wa jamii yoyote bila maendeleo, ni vigumu kufikia malengo ya kijamii, kiuchumi na kisiasa. Na Mwandishi wetu Baraza la kawaida la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza limeagiza utekelezaji wa miradi ya…

28 April 2026, 11:50

Madiwani wekeni kando tofauti zenu za kisiasa-DC Kasulu

Kuweka tofauti pembeni kunasaidia kuleta maendeleo ya haraka, endelevu na yenye kuwanufaisha wananchi wote Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Kanali Isaac Mwakisu, amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu kuweka tofauti zao za kisiasa…

28 April 2026, 10:18

Mradi wa uhimilivu mabadiliko tabianchi waanzishwa Kibondo

Elimu ya mabadiliko ya tabianchi si tu kuongeza maarifa, bali ni chombo muhimu cha kuboresha maisha, kulinda mazingira, na kuhakikisha maendeleo endelevu Na Mwandishi wetu Mfuko wa Green Climate Fund (GCF) kwa kushirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais imeanzisha…

27 April 2026, 16:24

DC Uvinza ahimiza usafi wa mazingira

Mkuu wa Wilaya Uvinza mkoani Kigoma amesema wananchi hawana budi kuzingatia suala la usafi wa mazingira ili kuhakikisha wanaepukana na mazingira ambayo yanaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko. Na Mwandishi wetu Wananchi wa Wilaya ya Uvinza wameungana kushiriki shughuli za usafi…

Radio JOY Profile

Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like

building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.

Missions

  • To be a voice to the voiceless
  • To influence behavior change from bad character to good character
  • To inspire Kigoma society to participate in development activities.
  • To create an awareness of local interests, views and cultures
  • To be a bridge of communication between government and society.

Visions

  • To bring Kigoma society together
  • To facilitate the sharing of information in Kigoma society.
  • To become a local radio that connects all people from different cultures to share their ideas and lifestyles.
  • To implement sustainable radio programs that improve access to information, and opportunity, and participate in and contribute to all aspects of life.

The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.

Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.