Joy FM
Joy FM
16 October 2026, 14:05

Watu wenye ulemavu wameendelea kushika nafasi mbalimbali za uongozi na kufanya vizuri kiutendaji licha ya mitazamo hasi katika jamii. Je, jamii inatambua uwezo wao wa kuongoza?Kipi kifanyike kuhakikisha wanapata fursa sawa?