Joy FM

Lugha inavyoathiri upatikanaji wa haki na fursa kwa watu wenye ulemavu Kigoma

22 October 2026, 10:42

Picha moja inaonyesha lugha inavyowakosesha haki watu wenye ulemavu na picha ya pili inaonyesha namna ambavyo lugha rafiki inavyowaweka karibu na kupata haki na fursa kwa watu wenye ulemavu, Picha Joy Fm

Lugha ni nyenzo muhimu katika mawasiliano lakini pia ni nguvu ya kujenga au kubomoa kwa watu wenye ulemavu pale yanapotumika maneno yanatumika kuwaita, kuwaeleza au kuzungumza nao kwani maneno hayo yanaweza kuwaonyesha kama watu wasioweza kufanya chochote na kupelekea kukosa haki na fursa muhimu kwao

Na Tryphone Odace / Orida Sayon