Joy FM
Joy FM
25 June 2026, 12:58
Ukatili wa kijinsia ni moja ya changamoto kubwa zinazoendelea kuathiri jamii nyingi nchini na vitendo hivi vinajumuisha ukatili wa kimwili, kingono, kisaikolojia na kiuchumi, ambavyo huathiri zaidi wanawake, watoto na makundi mengine yaliyo katika mazingira hatarishi. Na Tryphone Odace Waandishi…
25 June 2026, 11:27
Rushwa ni moja ya vikwazo vikubwa vinavyoathiri maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla kwa sababu hiyo, juhudi za kuzuia na kupambana na rushwa zina umuhimu mkubwa katika kuhakikisha huduma za umma zinatolewa kwa haki na kwa kuzingatia sheria. Na…
24 June 2026, 17:51
Walimu walipokea madawati hayo wametakiwa kutatunza ili yaweze kudumu na kutumika kwa muda mrefu Na Mwandishi wetu Benki ya NMB imekabidhi madawati 150 kwa shule mbalimbali za Wilaya ya Kakonko katika hafla iliyofanyika leo, Juni 24, katika Shule ya Msingi…
24 June 2026, 14:34
Wafanyabiashara wadogo ni nguzo muhimu katika maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote na kundi hili linachangia kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji wa bidhaa, utoaji wa huduma na ajira kwa wananchi wengi Na Mwandishi wetu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa…
24 June 2026, 11:52
Watumishi wa umma ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, kwani wao ndio wanaosimamia utoaji wa huduma kwa wananchi na ni muhimu kwa mamlaka husika kuhakikisha kuwa changamoto zinazowakabili zinatatuliwa kwa wakati ili kuongeza ufanisi kazini Sadick Kibwana Watumishi…
24 June 2026, 09:48
Mradi huu utaimarisha huduma za usafiri wa anga kwa kuongeza uwezo wa kiwanja kuhudumia ndege kubwa zaidi na itarahisisha usafiri wa abiria na mizigo kutoka Kigoma kwenda maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi Na Mwandishi wetu Wizara ya Ujenzi…
24 June 2026, 09:16
Maendeleo yanategemea kwa kiasi kikubwa uwezo wa taasisi za Serikali kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi ili kufanikisha hilo, ni muhimu kuwa na vitendea kazi vya kutosha na vinavyokidhi mahitaji ya kazi Na Mwandishi wetu Katibu Tawala wa Wilaya ya Kibondo,…
23 June 2026, 16:19
Teknolojia imeendelea kukua kwa kasi duniani na kuleta mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali, ikiwemo sekta ya elimu kutokana na maendeleo hayo, walimu wanapaswa kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia ili waweze kutoa elimu bora inayokidhi mahitaji ya wakati. Na…
23 June 2026, 14:47
Wajane ni kundi muhimu katika jamii ambalo mara nyingi hukumbana na changamoto mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kisheria baada ya kufiwa na wenza wao na ni muhimu kwa wajane kutambua na kupigania haki zao ili waweze kuishi maisha bora na…
23 June 2026, 14:13
Maji ni rasilimali muhimu katika maisha ya binadamu na viumbe wengine wote duniani na hakuna kiumbe kinachoweza kuishi bila maji kwa muda mrefu Na Sadick Kibwana Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidyama Kata ya Kigondo katika Halmashauri ya Mji…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.