FM Manyara
FM Manyara
1 August 2026, 11:34 pm
Wanafunzi wa Deira English Medium School wametembelea hifadhi ya Taifa Tarangire , ambapo wamepata fursa ya kujionea vivutio mbalimbali vya utalii na kujifunza kwa vitendo kuhusu uhifadhi wa wanyamapori na mazingira. Na Mzidalfa Zaid Mkurugenzi wa Deira English Medium School,…
31 July 2026, 7:40 pm
Tanzania imeungana na Mataifa mengine Dunia Kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Askari wa uhifadhi maarufu kama Rangers Day. Na Marino Kawishe Akisoma Risala ya siku ya Rangers Afisa wanyamapori kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Babati Beatrice Onesmo mbele ya mgeni…
31 July 2026, 7:37 pm
Ikiwa Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji duniani yanaanza kesho Agasti mosi jamii Wilayani Babati mkoani Manyara imehaswa kuzingatia umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto  kwa kutambua umuhimu wa kumnyonyesha mtoto pindi anapozaliwa kwa wakati na  ulio sahihi . Na…
30 July 2026, 6:44 pm
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kaskazini imekutana na wadau wa sekta ya nishati na maji Kanda ya kaskazini kwa lengo la kuwakumbusha majukumu yao ya kazi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.…
30 July 2026, 5:56 pm
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amesema ushirikiano wa wadau mbalimbali ni muhimu katika kulinda mazingira na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Na Mzidalfa Zaid RC Sendiga ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa ripoti ya mazingira, mabadiliko ya…
29 July 2026, 6:44 pm
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kaskazini, George Mhina, amewahimiza wananchi na wawekezaji kutumia fursa zilizopo kwa kuanzisha vituo vya mafuta katika maeneo ya vijijini ili kusogeza huduma karibu na wananchi. Na…
28 July 2026, 8:15 pm
Hospitali ya Mji wa Babati mkoani Manyara imepokea mitambo ya kisasa ya mfumo wa kuzalisha oksijeni tiba (Oxygen Generation System) kutoka Shirika la FREO2 Foundation, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha huduma za afya kwa watoto wachanga na wagonjwa…
27 July 2026, 8:33 pm
Huduma za Matibabu ya Afya ya kinywa na Meno zimeanza kutolewa leo katika Kambi ya Madaktari bingwaaa kutoka hospital ya Rufaa  Mkoa wa Manyara na huduma hizo zitatolewa Hadi julai 30 mwaka huu . Na Emmy Peter Hayo yamesemwa daktari…
27 July 2026, 8:04 pm
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara, Regina Ndege ametoa mifuko 100 ya saruji na kuahidi kutembelea daraja lililokatika kwa mvua zilizopita na linalounganisha kitongoji cha Waloa na…
24 July 2026, 7:56 pm
Mafunzo ya Huduma ya kwanza kwa Askari wa wanyama pori yaliyojumuisha Askari kutoka TANAPA, TAWA, BWMA, BABATI DC NA CCA zinazofanya shughuli za uhifadhi wa wanyama pori katika ushoroba wa kwakuchinja pamoja na mfumo wa ikolojia ya Tarangire-Manyara yamefungwa rasmi…
COMPANY PROFILE
FM Manyara Radio was founded in 2018 located in Babati district, Manyara region. FM
Manyara 92.3 Radio we are committed to innovation to bring the best radio and broadcasting
services in the region and around the country.
Manyara 92.3 FM Radio is a radio station broadcasting a mixed format consisting of news,
sports, music and a variety of talk programs both being aired within 24 hours. It is strategically
located in Babati Town, Manyara –one of the fastest-growing towns in Tanzania.
The station commenced test transmission on 02nd of December 2018 and was granted a
district broadcasting license from Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). Since
test transmission of the radio, the station has gained more support and acceptance from the
listeners around the district.
We provide and promote business through the following
ï‚· Live programs that enable customer to air his/her products or services and get direct
feedback from our audience
ï‚· Airing spot adverts.
ï‚· Airing presenter mentions
Any other live public events as suggested by the customer
The commercial activities on the radio began officially in 2019 and through this short period of
commercializing the media we have succeeded in working with different organizations and
institutions both governmental and nongovernmental, This creates a sense of trustworthiness not
only to ourselves but also to our partners.
COVERAGE AREA
FM Manyara 92.3 Radio has an average radius of 120 kilometers, and the station has
planned to complete a geographical expansion programme that will extend the radio signal to
the entire Northern zone and parts of Central Tanzania which will mean approximate listeners
of well over 2 to 3 million. Also, FM Manyara 92.3 Radio will widen the listeners to other areas
that we have not reached in terms of frequency coverage and modulation and use online
platform and our station will be tuned wherever in the world. We expect to have listeners from
far Asia in countries like Japan and South Korea / and far West in the United States of America and
Canada.
VISION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio vision statement is ‘to be an industry leader with national and
International brand recognition builds around the cohesive team of passionate, creative and
inspired Individuals who love what they do, empowering our clients to reach their goals. Our
the team is innovative and forward-thinking while remaining conscious of the needs of today, and
being a financially strong, growth-oriented company enables us to provide stability for our most
valuable assets; our people and our clients.
MISSION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio mission statement is ‘To empower and inspire motivated business
and entrepreneurs to discover and fulfill their dreams and adventures’ In terms of
programming, FM Manyara 92.3 Radio is a public interest station –combining education,
information, news, and entertainment. The station’s focus is on the interplay of issues
concerning the community; its history and the social, cultural, and economic activities and
endeavors of the people. Apart from providing essential information, the station’s programmes
incorporate the ‘how to do’ approach providing guidance, and offering tips and hints to listeners on
different subjects.