FM Manyara

Recent posts

2 July 2026, 12:54 am

Miradi ya bilioni 8.07 kuzinduliwa na Mwenge wa uhuru Babati mji

Na Emmy Peter Mkurugenzi wahalmashauri ya Mji wa Babati CPA Shabani A. Mpendu amesema  Mwenge wa Uhuru kwa  mwaka huu 2026 unatarajiwa   kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 8.07.…

1 July 2026, 12:54 am

Takukuru Manyara yawafunda wadau wa usimamizi wa miradi ya maendeleo

Na Emmy Peter Wadau wa usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Manyara wamehimizwa kusimamia ipasavyo utekelezaji wa miradi hiyo ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati, na ubora unaotakiwa ili kuwanufaisha wananchi. Maelekezo hayo yametolewa leo na mkuu wa wilaya ya…

24 June 2026, 1:16 am

  RC Sendiga azindua  gari la milioni 180 Simanjiro

   Mkuu wa mkoa wa Manyara,Queen Sendiga amezindua gari la halmashauri  ya wilaya ya Simanjro  lenye thamani ya shilingi milioni 180, litakalotumika kwenye shughuli mbalimbali za kuwahudumia wananchi wa wilaya hiyo. Sendiga amezindua gari hilo  leo alipokuwa katika ziara ya…

24 June 2026, 1:01 am

Shirika la Hand in Hand lasaidia wafuga kuku Manyara

Wafugaji na wanunuzi wa kuku Wilayani Babati mkoani Manyara wamelishukuru Shirika la Hand in Hand kwa kuwakutanisha pamoja kujadili juu ya mahusiano ufugaji na soko la kuku. Na Christina Christian Wakizungumza kwenye jukwaa la mahusiano ya kibiashara kwa wadau katika…

23 June 2026, 10:29 pm

Ubadilishaji wa mita za kisasa za umeme unaendelea

Zoezi la ubadilishaji wa mita za kisasa za umeme  (Smart Meter) linaendelea katika Mkoa wa Manyara na sasa limeingia katika  awamu ya pili  ambapo linafanyika katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Manyara  kwa lengo la kuboresha huduma za umeme na…

21 June 2026, 7:19 am

Babati mji yaendelea kutoa elimu kuelekea siku ya wajane

Kuelekea maadhimisho ya siku ya wajane Duniani yanayoadhimishwa Juni 23 kila mwaka, Halmashauri ya Mji wa Babati imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kupitia maeneo mbalimbali yenye mikusanyiko, mikutano ya kijamii na vyombo vya habari kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu…

19 June 2026, 12:52 am

Babati Dc yazindua kampeni ya malezi kwa watoto

Halmashauri ya wilaya ya Babati mkoani Manyara imezindua kampeni ya siku 14 ya kutoa elimu kwa jamii kuhusu malezi chanya chini ya kauli mbiu inayosema ”mtoto ni malezi Msingi wa familia bora kwa taifa imara”. Uzinduzi huo umefanyika june 18…

14 June 2026, 2:54 pm

Deira yawazawadia mamilioni wahitimu, walimu na wanafunzi bora

Shule ya Deira English Medium imeendelea kuthibitisha ubora wake wa kitaaluma kwa kuandaa hafla maalum ya kuwapongeza na kuwazawadia wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao, hatua inayodhihirisha dhamira ya shule hiyo ya kuendeleza ufaulu na kukuza vipaji vya wanafunzi. Na…

12 June 2026, 7:26 pm

TGNP yasaidia wakulima Manyara kupata uelewa wa kilimomisitu

Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP kwa kushirikiana na baadhi ya wakulima kutoka vituo vya taarifa na maarifa  vya mamire na Murray mkoani Manyara wamefanya mafunzo ya pamoja ya nadharia na vitendo yanayohusu Kilimomisitu. Akizungumza na Fm Manyara  Msimamizi wa mafunzo…

About FM Manyara

COMPANY PROFILE
FM Manyara Radio was founded in 2018 located in Babati district, Manyara region. FM
Manyara 92.3 Radio we are committed to innovation to bring the best radio and broadcasting
services in the region and around the country.

Manyara 92.3 FM Radio is a radio station broadcasting a mixed format consisting of news,
sports, music and a variety of talk programs both being aired within 24 hours. It is strategically
located in Babati Town, Manyara –one of the fastest-growing towns in Tanzania.
The station commenced test transmission on 02nd of December 2018 and was granted a
district broadcasting license from Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). Since
test transmission of the radio, the station has gained more support and acceptance from the
listeners around the district.

We provide and promote business through the following
ï‚· Live programs that enable customer to air his/her products or services and get direct
feedback from our audience
ï‚· Airing spot adverts.
ï‚· Airing presenter mentions
Any other live public events as suggested by the customer
The commercial activities on the radio began officially in 2019 and through this short period of
commercializing the media we have succeeded in working with different organizations and
institutions both governmental and nongovernmental, This creates a sense of trustworthiness not
only to ourselves but also to our partners.

COVERAGE AREA
FM Manyara 92.3 Radio has an average radius of 120 kilometers, and the station has
planned to complete a geographical expansion programme that will extend the radio signal to
the entire Northern zone and parts of Central Tanzania which will mean approximate listeners
of well over 2 to 3 million. Also, FM Manyara 92.3 Radio will widen the listeners to other areas
that we have not reached in terms of frequency coverage and modulation and use online
platform and our station will be tuned wherever in the world. We expect to have listeners from
far Asia in countries like Japan and South Korea / and far West in the United States of America and
Canada.

VISION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio vision statement is ‘to be an industry leader with national and
International brand recognition builds around the cohesive team of passionate, creative and
inspired Individuals who love what they do, empowering our clients to reach their goals. Our
the team is innovative and forward-thinking while remaining conscious of the needs of today, and
being a financially strong, growth-oriented company enables us to provide stability for our most
valuable assets; our people and our clients.

MISSION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio mission statement is ‘To empower and inspire motivated business
and entrepreneurs to discover and fulfill their dreams and adventures’ In terms of
programming, FM Manyara 92.3 Radio is a public interest station –combining education,
information, news, and entertainment. The station’s focus is on the interplay of issues
concerning the community; its history and the social, cultural, and economic activities and
endeavors of the people. Apart from providing essential information, the station’s programmes
incorporate the ‘how to do’ approach providing guidance, and offering tips and hints to listeners on
different subjects.