FM Manyara
FM Manyara
10 June 2026, 5:16 pm
Kongano bunifu katika sekta ya maji na usafi wa mazingira (WASH) lijulakanalo kama kongano la udhibiti na uchakataji taka Manyara limezinduliwa leo katika mkoa wa Manyara lengo ikiwa ni kuhakikisha taka zote zinakuwa fursa. Na Mzidalfa Zaid Akiongea kwa niaba…
7 June 2026, 3:55 pm
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani (RTO) Mkoa wa Manyara Michael Mwakasungula ameongoza zoezi la ukaguzi wa magari yanayosafirisha watoto katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha usalama wa watoto wakati wa kipindi hiki cha likizo…
5 June 2026, 6:34 pm
Shirika la Civic Social Protection Foundation (CSP) kwa kushirikiana na Vi Agroforestry limeadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kutekeleza shughuli mbalimbali za uhifadhi wa mazingira katika Halmashauri ya Mji Babati, mkoani Manyara. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo,…
5 June 2026, 6:28 pm
Wananchi mkoani Manyara wamehimizwa kuhakikisha wanakagua mifumo ya umeme katika nyumba, Taasisi na maeneo ya biashara mara kwa mara ili kubaini changamoto zinazoweza kujitokeza na kuzifanyia marekebisho kwa wakati. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na Afisa Uhusiano wa Shirika…
4 June 2026, 4:21 pm
Wanakikundi cha taarifa na maarifa kutoka kata ya Mamire Wilayani Babati Mkoani Manyara wamezipongeza wizara za Afya, Elimu na maji kwa kuweka kipaumbele mrengo wa jinsia kwenye bajeti zao ambazo zilishawasilishwa kwenye Bunge la 13 linaloendelea huko Jijini Dodoma. Na…
4 June 2026, 4:08 pm
Chama kikuu Cha ushirika mkoa wa Manyara (RIVACU)kimefanya mkutano mkuu wa mwaka ambapo mipango mbalimbali imewasilishwa ikiwemo miradi itakayoendelezwa pamoja na uzalishaji kwa ajili ya kukuza chama hicho. Na Mzidalfa Zaid Akiongea baada ya kikao hicho mwenyekiti wa bodi ya…
1 June 2026, 4:00 pm
Waumini wa Kanisa la Mungu Tanzania lenye makao makuu yake mjini Babati mkoani Manyara wameiomba Serikali kuingilia kati na kusaidia kutatua mgogoro unaodaiwa kudumu kwa miaka zaidi ya minne ndani ya kanisa hilo, wakidai unasababishwa na baadhi ya viongozi kukiuka…
29 May 2026, 2:25 pm
Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imetoa hukumu ya miaka 20 kwa aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit Godbless Felix Mollel kwa makosa ya uhujumu uchumi katika shauri la uhujumu uchumi namba 22415/2025. Na Mzidalfa Zaid Hukumu…
29 May 2026, 1:47 pm
Karibu usikilize makala maalum inayohusu usawa wa kijinsia unazingatiwa kwa namna gani mashuleni? makala yetu imzezungumza na walimu wakuu, wanafunzi pamoja na walimu katika shule mbalimbali wilayani Babati mkoani Manyara. Na Mzidalfa Zaid, Hawa Rashid
29 May 2026, 1:27 pm
Wananchi wa wilaya ya Hanang mkoani Manyara wameendelea kunufaika na huduma za maji safi, vyoo bora pamoja na elimu ya usafi wa mazingira na usafi binafsi baada ya shirika la WaterAid Tanzania kukabidhi rasmi mradi wa WASH katika shule ya…
COMPANY PROFILE
FM Manyara Radio was founded in 2018 located in Babati district, Manyara region. FM
Manyara 92.3 Radio we are committed to innovation to bring the best radio and broadcasting
services in the region and around the country.
Manyara 92.3 FM Radio is a radio station broadcasting a mixed format consisting of news,
sports, music and a variety of talk programs both being aired within 24 hours. It is strategically
located in Babati Town, Manyara –one of the fastest-growing towns in Tanzania.
The station commenced test transmission on 02nd of December 2018 and was granted a
district broadcasting license from Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). Since
test transmission of the radio, the station has gained more support and acceptance from the
listeners around the district.
We provide and promote business through the following
ï‚· Live programs that enable customer to air his/her products or services and get direct
feedback from our audience
ï‚· Airing spot adverts.
ï‚· Airing presenter mentions
Any other live public events as suggested by the customer
The commercial activities on the radio began officially in 2019 and through this short period of
commercializing the media we have succeeded in working with different organizations and
institutions both governmental and nongovernmental, This creates a sense of trustworthiness not
only to ourselves but also to our partners.
COVERAGE AREA
FM Manyara 92.3 Radio has an average radius of 120 kilometers, and the station has
planned to complete a geographical expansion programme that will extend the radio signal to
the entire Northern zone and parts of Central Tanzania which will mean approximate listeners
of well over 2 to 3 million. Also, FM Manyara 92.3 Radio will widen the listeners to other areas
that we have not reached in terms of frequency coverage and modulation and use online
platform and our station will be tuned wherever in the world. We expect to have listeners from
far Asia in countries like Japan and South Korea / and far West in the United States of America and
Canada.
VISION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio vision statement is ‘to be an industry leader with national and
International brand recognition builds around the cohesive team of passionate, creative and
inspired Individuals who love what they do, empowering our clients to reach their goals. Our
the team is innovative and forward-thinking while remaining conscious of the needs of today, and
being a financially strong, growth-oriented company enables us to provide stability for our most
valuable assets; our people and our clients.
MISSION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio mission statement is ‘To empower and inspire motivated business
and entrepreneurs to discover and fulfill their dreams and adventures’ In terms of
programming, FM Manyara 92.3 Radio is a public interest station –combining education,
information, news, and entertainment. The station’s focus is on the interplay of issues
concerning the community; its history and the social, cultural, and economic activities and
endeavors of the people. Apart from providing essential information, the station’s programmes
incorporate the ‘how to do’ approach providing guidance, and offering tips and hints to listeners on
different subjects.