Radio Tadio

Vijana

8 June 2023, 9:55 AM

Shirika la door of hope, lakutana na vijana lawapa mbinu za utambuzi

Shirika lisilo la kiserikali la DOOR OF HOP lenyemakao yake mkoani mtwara limekutana na Vijana  zaidi ya 30 kutoka  kata ya Jida na Migongo  ili kuwajengea uwezo wa utambuzi katika mradi wa Kijana kwanza ambao unatekelezwa katika halmashauri ya mji…

10 April 2023, 3:19 pm

Vijana wakumbushwa kujiwekea akiba

Mara kadhaa kumekuwepo na baadhi ya vijana ambao wamekuwa wakihinda vijiweni pasipo kuwa na ajira huku wengi wao wakisema kuwa mitaji ni miongoni mwa changamoto zinazopelekea kushindwa kujiajiri. Na Thadei Tesha. Vijana wametakiwa kutumia vyema nafasi waliyonayo katika kuwekeza kidogo…

4 April 2023, 5:53 am

Wananchi Mpanda Watoa Maoni Mseto Juu ya Damuchafu

MPANDA Baadhi Ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametoa maoni mseto juu ya wimbi lililoibuka la watu wanaofanya matukio ya kupora na kuiba mitaani maarufu kama Damu Chafu. Wameyasema hayo kwa nyakati tofauti wakati wakizungumza na kituo hiki…

30 March 2023, 6:14 pm

Vijana wazungumzia changamoto za mikopo halmashauri

Vijana hao wamesema kuwa kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa kwani wanatumia muda mwingi kufuatilia fedha hizo. Na Victor Chigwada .    Baadhi  ya vijana wa  kutoka Wilaya ya Chamwino wamezungumzia changamoto wanazozipata katika Halmashauri  pindi wanapoenda kuchukua mikopo inayotengwa na serikali…

16 March 2023, 11:25 am

Noorah ‘Baba Stylz’: Najishauri sana kuendelea na muziki

Na Erick Mallya Ukizungumzia wasanii wa Rap Tanzania wenye mchango mkubwa sana kwenye mitindo na uandishi wa ‘Rappers’ wengi wa kizazi hiki huwezi kuacha kulitaja Jina la Noorah ‘Baba Stylz’. Mpaka sasa Nooraha anwakilisha kundi la ‘Chemba Squad’ lililoanzishwa 1999…

8 June 2022, 2:28 pm

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa

Na; Lucy Lister . Vijana jijini Dodoma wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza na kuacha tabia ya kuchagua  kazi. Akizungumza na Dodoma fm Bw. Charles Mathias ambaye anajishughulisha na suala la kuongeza thamani kupitia biashara ya…

18 May 2021, 7:41 am

Wazazi: Vijana wageuze elimu zao kuwa chanzo cha ajira

Na; Alfredy Sanga Baadhi ya vijana wameeleza jinsi ambavyo kijana anaweza kujiajiri na kutafuta fursa mbali mbali katika kujikwamua kimaisha, badala ya kutegemea kuajiriwa  kutokana na ukosefu wa ajira nchini. Wakizungumza na taswira ya habari vijana hao wamesema kitu kikubwa…