Mazingira FM

Mwenezi CCM Bunda aipa kongole Radio Mazingira

24 February 2023, 9:07 am

Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Bunda, Gasper CharlesĀ  amewahasa wananchi kuendelea kuisikiliza Radio Mazingira Fm kwa ajili ya kupata habari na taarifa mbalimbali.

Wito huo ameutoa leo tarehe 23 Feb 2023 wakati alipotembelea ofisi za Radio Mazingira Fm zilizopo Bunda Mtaa wa Saranga lengo ni kujifunza namna kituo kinavyofanyakazi na kutekeleza jukumu lake la kujenga nahusiano na vyombo vya habari