Mazingira FM

Huduma za Rita sasa ni mtandaoni.

18 March 2023, 5:52 pm

Wakala wa ufilisi na udhamini nchini rita umekamilisha hatua ya kwanza ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali ya binadamu ikiwemo vizazi , vifo , ndoa na taraka kupitia mtandao ambao unajulikana kama E RITA jambo litakalorahisisha upatikanaji wa huduma kwa urahisi na haraka.

Akizunguza na waandishi wa habari ofisini kwake katibu tawala wilaya ya bunda mhe salumu halfani mtelela amesema mfumo huo utasaidia kupunguza changamoto mbalimbali zilizokuwa zikijitokeza kupitia mfumo wa zamani wa uandikishaji kupitia ofisi za Makati tawara wa wilaya ikiwemo masuala ya vishoka.

salumu mtelela

Aidha amewata wakazi wa Bunda kuchangamkia fulsa hiyo kwani cheti kitakachotolewa kitakuwa na sahihi ya msajili mkuu, kupunguza usumbufu wa kuwasubili makatibu tawala ambao muda mwingi wako katika shughuli za kiserikali laki pia wananchi watapata cheti kwa muda mfupi
Insert…………….mtelela

salumu mtelela