9 April 2026, 6:40 pm

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya…

On air
Play internet radio

Recent posts

28 September 2026, 9:11 pm

Tarime yaandaa kambi salama kuwanusuru watoto dhidi ya ukeketaji

Hatua hiyo inalenga kuhakikisha watoto wanaokimbia ukeketaji hawakosi sehemu salama ya kwenda Na Edward Lucas. Wadau wa kupinga ukeketaji wilayani Tarime mkoani Mara wameandaa mpango wa kuanzisha kambi salama ya muda kwa ajili ya kuwahifadhi watoto wa kike watakaokimbia ukeketaji…

28 September 2026, 8:56 pm

Marufuku kukatisha Lamadi kwenda Bunda kwa miguu au baiskeli

Zaidi ya asilimia 99.7 ya wakazi wa Nyatwali wamelipwa fidia yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 52. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda mkoani Mara, ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Aswege Enock Kaminyoge, imekabidhi rasmi eneo lililokuwa Kata…

28 September 2026, 5:41 pm

Wapendekeza fursa za kiuchumi kwa mangariba kuzuia ukeketaji Tarime

“Kutoa fursa mbadala za kiuchumi kwa mangariba kunaweza kusaidia kupunguza sababu za ukeketaji” Na Edward Lucas. Wadau wa kupinga ukeketaji wilayani Tarime mkoani Mara wamependekeza kuwezeshwa kwa wazee wa kimila na mangariba kama sehemu ya mikakati ya kuzuia ukeketaji wa…

27 September 2026, 6:42 pm

Butiama: Mila zinavyowakosesha wanawake haki ya kumiliki mali

“ukosefu wa elimu ya kisheria, hofu na mfumo dume kuwa miongoni mwa changamoto zinazowafanya baadhi ya wanawake kushindwa kudai haki zao” Na Edward Lucas. Mila na desturi za baadhi ya koo zinazoweka mwanamke nyuma katika urithi wa mali zimetajwa kuwa…

27 September 2026, 2:40 pm

Kukwepa wajibu wa malezi, sheria zipo kuchukua hatua

“kuna taratibu za kisheria zinazoweza kutumika kuhakikisha mtoto anapata mahitaji yake” Na Edward Lucas. Wazazi wametakiwa kutambua kuwa kupata mtoto kunaambatana na wajibu wa kumlea, kumtunza na kumlinda, huku wale wanaoshindwa kutimiza majukumu hayo wakikumbushwa kuwa kuna taratibu za kisheria…

26 September 2026, 7:46 pm

Baraza la madiwani Bunda TC laipa kongole idara ya elimu

Katika mtihani huo, watahiniwa 2,845 walifanya mtihani, ambapo watahiniwa 2,399 sawa na asilimia 82 walifaulu kwa daraja la kwanza hadi la nne. Na Juma Hangi Idara ya Elimu Halmashauri ya Mji wa Bunda imepongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya…

26 September 2026, 7:03 pm

Mgeni rasmi ashangaa shule kukosa choo cha walimu

Dk. Bwire ameahidi kutoa zawadi kwa kila mwalimu atakayefanikisha wanafunzi waliomaliza elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Isanju kupata alama A 20 kwa kila somo. Na Adelinus Banenwa Dk. Masinde Bwire ameahidi kushirikiana na uongozi wa Shule ya Msingi…

25 September 2026, 8:27 pm

Esperanto Sec yafanya mahafali ya 11, ufaulu wasisitizwa

Amewataka wazazi kushirikiana na uongozi wa shule kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula wanapokuwa shuleni, akisema lishe bora ni sehemu muhimu ya kuwasaidia wanafunzi kuwa na uwezo mzuri wa kujifunza. Na Fadhil Mramba Diwani wa kata ya Ketare katika Halmashauri ya Wilaya…

24 September 2026, 7:58 pm

Kamati za halmashari zatakiwa kutatua kero za wananchi

Hatua hiyo inalenga kupunguza changamoto na migogoro kwa wananchi, hususan migogoro inayoweza kutatuliwa kupitia vikao na mikutano ya kiserikali. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mhe. Aswege Enock Kaminyoge, ameelekeza kamati zote kuanzia ngazi ya serikali za mitaa…

21 September 2026, 10:48 am

Alikimbia ukeketaji, familia ikamkataa, sasa anasomea urubani

Na Adelinus Banenwa Ni safari ya binti Shadia Mwita (si jina halisi) alivyokimbia ukeketaji akiwa na umri wa miaka 12, wakati huo alikuwa hajawahi kusoma darasa hata moja, baada ya muda wa ukeketaji kuisha aliporudishwa kwao familia ikamfukuza akaanza maisha…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com