Mazingira FM
Mazingira FM
21 September 2026, 10:48 am

Na Adelinus Banenwa
Ni safari ya binti Shadia Mwita (si jina halisi) alivyokimbia ukeketaji akiwa na umri wa miaka 12, wakati huo alikuwa hajawahi kusoma darasa hata moja, baada ya muda wa ukeketaji kuisha aliporudishwa kwao familia ikamfukuza akaanza maisha mapya nyumba salama kituo cha Hope For Girls and Women in Tanzania, sasa anapambania ndoto zake za kuwa rubani.