Mazingira FM
Mazingira FM
13 October 2026, 9:37 am

Ushirikiano kati ya shirika, viongozi wa kata na wananchi ni sehemu muhimu ya juhudi za kuhamasisha matumizi endelevu ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Na Adelinus Banenwa
Kupitia mradi wa LCSL unaotekelezwa na Shirika la GGF, kikundi cha Pamoja Group kimepata fursa ya kunufaika na mafunzo ya utunzaji wa mazingira, ufugaji nyuki kwa kutumia mizinga na uwezeshaji wa mbegu bora za mahindi.
Ushirikiano kati ya shirika, viongozi wa kata na wananchi ni sehemu muhimu ya juhudi za kuhamasisha matumizi endelevu ya rasilimali na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Hata hivyo, mafanikio ya muda mrefu yatategemea namna maarifa haya yatakavyoendelea kutumika, matokeo yatakayopatikana na uwezo wa jamii kuendeleza shughuli hizi katika siku zijazo.