Mazingira FM

Recent posts

15 August 2026, 7:41 pm

Hatari ya kumwachia mtu ardhi kwa miaka 12 bila mkataba

Wananchi wanaotaka kumwachia mtu kutumia eneo lao wanapaswa kuweka makubaliano ili kuepuka migogoro. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa kumruhusu mtu kukaa au kutumia eneo lako bila makubaliano rasmi kwa muda mrefu kunaweza kusababisha changamoto za kisheria kuhusu umiliki wa eneo…

14 August 2026, 10:39 am

Kicheko cha mashabiki wa Yanga Bunda ushindi dhidi ya Simba

Mashabiki wa Simba, wamekubali matokeo hayo huku wakitaka viongozi wa klabu hiyo kuboresha kikosi, Na Juma Hangi Mashabiki wa Yanga wameeleza furaha yao baada ya timu hiyo kuifunga Simba bao moja kwa sifuri katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa…

13 August 2026, 6:04 am

Maoni mseto ugawaji vyandarua Saranga Bunda

Jumla ya kaya 670 zinatarajiwa kunufaika na vyandarua katika mtaa wa Saranga. Na Adelinus Banenwa Zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa wananchi kwa lengo la kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa malaria linaendelea katika maeneo mbalimbali ndani ya Wilaya ya Bunda,…

9 August 2026, 7:25 am

Mshikamano katika ndoa husaidia wanawake kiuchumi

Rebecca anaeleza kuwa shughuli zake za ujasiriamali zimemsaidia kuchangia mahitaji ya nyumbani, mahitaji ya wanafunzi na kuboresha makazi ya familia. Na Edward Lucas Ushirikiano, uaminifu na kusaidiana kati ya wanandoa umetajwa kuwa miongoni mwa misingi inayoweza kumsaidia mwanamke kushiriki kikamilifu…

8 August 2026, 7:11 pm

Wananchi waaswa kutumia wataalam wa sheria mikataba ya mauziano

Kwa mujibu wa sheria, wananchi wanapaswa kutumia wataalamu wa sheria katika kusimamia na kuandaa mikataba ya mauziano, ili kuhakikisha taratibu za kisheria zinafuatwa na kulinda haki za wahusika. Na Adelinus Banenwa Wakili Aloyce Kaditanus amesema wenyeviti wa mitaa, vijiji na…

8 August 2026, 11:13 am

Tishio la mamba kwa watoto Mwiseni

Baada ya tukio la mtoto Majura Tungaraza, maarufu Dotto, mwenye umri wa miaka saba, kuripotiwa kutoweka baada ya kushambuliwa na mamba katika Ziwa Victoria, kulifanyika operesheni ya kuwavuna mamba katika eneo hilo, huku wananchi wakihimizwa kutumia kizimba kilichopo kwa ajili…

7 August 2026, 9:22 pm

DC Bunda awataka vijana kutumia fursa za mikopo kujikwamua kiuchumi

Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi, hivyo vijana wanapaswa kuzitambua, kuzitumia kwa usahihi na kuanzisha shughuli zitakazowawezesha kuongeza kipato Na Adelinus Banenwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mhe. Aswege Enock Kaminyoge, amewataka vijana kutumia…

7 August 2026, 9:13 pm

Kambarage Wasira atoa msaada kompyuta 10 wilaya ya Bunda

Mkuu huyo wa Wilaya amesisitiza umuhimu wa kulinda vifaa vinavyotolewa na wadau wa maendeleo pamoja na Serikali, akieleza kuwa vifaa hivyo vinapaswa kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa ili viwanufaishe wananchi, hususan wanafunzi. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wadau mbalimbali wa…

1 August 2026, 7:46 pm

Mwenge wa uhuru wakagua miradi saba ya ya mendeleo Bunda

Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuendelea na mbio zake katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara kwa lengo la kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi ya maendeleo, sambamba na kuhamasisha uzalendo, uwajibikaji na ushiriki wa wananchi katika shughuli…

31 July 2026, 9:18 pm

Lightness aibuka mshindi Tsh 1 mil kampeni ya Yas

Hafla ya kukabidhi hundi ya mshindi huyo imefanyika katika ofisi za Yas zilizopo mtaa wa FM, mjini Mugumu, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara. Na Adelinus Banenwa Katika kuendelea kudhihirisha ubora wa huduma zake na kuwazawadia wateja wake, kampuni ya…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com