Mazingira FM

Recent posts

15 May 2026, 1:19 pm

Bunda DDH yaadhimisha Siku ya Wauguzi kwa harambee

Mkama alieleza kuwa anatambua kazi ya ukunga na uuguzi ni wito wa kujitolea unaoendelea kuwa msaada mkubwa kwa jamii, huku akipongeza ufanisi mkubwa wa kazi hiyo kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia duniani. Na Adelinus Banenwa Hospitali ya Wilaya…

15 May 2026, 11:11 am

DR Wambura: kuchukua dawa za kufubaza vvu siyo aibu

Kuchukua dawa za VVU si jambo la aibu bali ni hatua muhimu ya kulinda afya na kuongeza ubora wa maisha kwa waathirika. Na Thomas Masalu Diwani wa Kata ya Bunda Stoo Flavian Chacha amehoji kuhusu utaratibu wa uchukuaji wa dawa…

15 May 2026, 10:43 am

Bunda TC yatakiwa kukamilisha miradi kwa wakati

Madiwani pamoja na wataalamu wa halmashauri wana wajibu wa kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa miradi hiyo kuanzia hatua za mwanzo hadi kukamilika kwake. Na Thomas Masalu Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda, Salum Mtelela, ameielekeza Halmashauri ya Mji wa Bunda…

13 May 2026, 10:20 am

Ukiibiwa au kupoteza mali toa taarifa polisi

Utoaji wa taarifa za wizi au upotevu wa mali inasaidia kuwakamata watuhumiwa mapema. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi kujenga utamaduni wa kutoa taarifa pindi wanapopoteza mali zao au kuibiwa ili kurahisisha uchunguzi wa matukio ya kihalifu. Akizungumza kupitia…

30 April 2026, 1:31 pm

CCM Bunda wapokea kwa bashasha kupendekezwa Kambarage

Kitendo cha kamati kuu kumteua ndugu Kambarage katika watu 6 ni jambo la heshima na hii inaonesha bado Bunda inaaminika. Na Adelinus Banenwa Chama cha mapinduzi wilaya ya Bunda kimesema kimepokea kwa furaha uwamuzi wa kamati kuu ya CCM taifa…

26 April 2026, 12:37 pm

DC Bunda atoa siku 14 shule ianze kupokea wanafunzi

Linapotajwa jambo la thamani ya fedha kwenye mradi si tu miundombinu imara bali hata miundombinu hiyo kutoa huduma kwa wakati ili malengo ya serikali yaweze kufikiwa. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Aswege Enock Kaminyoge ametoa siku…

26 April 2026, 11:59 am

DC Aswege: Mabasi yote kuingia stendi ya Bunda ni lazima

Lengo si tu serikali kupata ushuru  bali inasaidia usalama wa abiria pamoja na kupunguza usumbufu kwao. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Aswege Enock Kaminyoge amemuelekeza mkuu wa polisi Bunda na mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa…

24 April 2026, 7:01 am

239 wahitimu uwalimu Bunda ngazi ya stashahada

Mkuu wa chuo cha uwalimu Bunda mwal Venance Mwita Mancheye amewahasa wahitimu kujiendeleza kielimu kwa kuwa ujifunzaji hauna mwisho, kusoma kompyuta na kuwa na heshima kwa kila mtu. Na Adelinus Banenwa Jumla ya wanafunzi wa chuo cha uwalimu Bunda 239…

22 April 2026, 8:08 pm

Kesi ya kaunya na wenzake, 14 waachiwa 7 wana kesi ya kujibu.

Watuhumiwa 14 wameachiwa huru huku wengine saba wakipatikana na kesi ya kujibu, kufuatia uamuzi mdogo (ruling) uliotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Bunda. Na Thomas Masalu Watuhumiwa 14 wameachiwa huru huku wengine saba wakipatikana na kesi ya kujibu, kufuatia uamuzi…

21 April 2026, 9:52 pm

Yowe haiui mtu bali watu ndiyo wanaoua

Ipo sheria ya ukamataji ambayo inaelekeza ukamataji salama na pindi wananchi wanaoshiriki ulinzi shirikishi wakikamata muhalifu wanatakiwa kutoa taarifa. Na Adelinus Banenwa Wananchi watakiwa kutojichukulia sheria mkononi ikiwemo kuhusuka katika mauaji ya wahalifu kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com