Mazingira FM
Mazingira FM
23 August 2026, 3:22 pm
Asilimia 38.3 ya wanawake wenye umri wa miaka 20 hadi 24 mkoani Mara walikuwa wameolewa kabla ya kufikisha miaka 18. Na Edward Lucas Baadhi ya mila zinazohusisha ukeketaji mkoani Mara zimeelezwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia wasichana kuingia kwenye ndoa…
22 August 2026, 6:51 pm
Sababu zinazoweza kumfanya mwenye mali asimjumuisha mtoto ni pamoja na mtoto kutomuhudumia mzazi wakati akihitaji msaada au kuwa na kusudio la kumuua mzazi kwa lengo la kupata mali. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi kujenga utamaduni wa kuandika wosia…
21 August 2026, 10:18 am
Vyombo vya habari vina mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta ya pamba iwapo vitatumika vizuri na kutoa taarifa sahihi kwa wakulima na wadau wengine Na Angel Mbalamwezi Bodi ya Pamba Tanzania kwa kushirikiana na STV Online imetoa mafunzo kwa waandishi…
20 August 2026, 9:27 pm
Hadi sasa walimu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi, huku uchunguzi wa kitabibu ukisubiriwa ili kubaini chanzo halisi cha kifo. Na Adelinus Banenwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo, amethibitisha kifo cha mwanafunzi…
20 August 2026, 9:59 am
Adhabu ya kuchapwa fimbo ilitolewa kwa wanafunzi na walimu waliokuwa katika foleni Taharuki imetanda katika Shule ya Sekondari Makongoro, Wilaya ya Bunda, baada ya mwanafunzi wa kidato cha sita, Peter Maira (19), anayedaiwa kufariki baada ya kupewa adhabu ya kuchapwa…
19 August 2026, 6:22 pm
Miongoni mwa kero zilizowasilishwa ni zoezi la ugawaji wa vyandarua vilivyotolewa na Serikali. Na Juma Hangi Wakazi wa Mtaa wa Saranga wamewasilisha kero mbalimbali zinazowakabili katika kikao kilichofanyika Agosti 18, 2026, kilichoitishwa na Mwenyekiti wa Mtaa huo, Philipo Safari, kwa…
19 August 2026, 11:46 am
Kwa baadhi ya jamii mkoani Mara, miezi ya Oktoba, Novemba na Desemba hutajwa kuwa kipindi cha hatari, ambapo vitendo vya ukeketaji huongezeka. Na Edward Lucas Wadau wa kupambana na ukatili wa kijinsia mkoani Mara wametaka mikakati ya kuzuia ukeketaji kuanza…
19 August 2026, 10:30 am
Licha ya bei ya mafuta kushuka, bado wanakabiliwa na gharama kubwa za uendeshaji, ikiwemo matengenezo ya magari, ununuzi wa vipuri, matairi na mahitaji mengine, Na Juma Hangi Madereva na abiria katika Mji wa Bunda, mkoani Mara, wameendelea kulalamikia hali ngumu…
19 August 2026, 10:20 am
Wanaiomba serikali iweze kuingilia kati suala hili ili waweze kupata maji safi na salama kwa wakati muafaka Na Juma Hangi Wakazi wa Bunda Mjini wamelalamikia kukatika kwa huduma ya maji kwa siku nne hadi wiki nzima, wakisema hali hiyo inakwamisha…
18 August 2026, 11:09 pm
Mafanikio ya kikundi yamewafanya wanachama pia kuanza kuwa na biashara binafsi. Kila mwanachama alipewa shilingi laki nane kwa ajili ya kuanzisha au kukuza biashara yake. Na Edward Lucas Kutoka katika biashara ndogo za kuuza nyanya, mbogamboga na matunda, hadi kuwa…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com