Radio Tadio

Jamii

30 January 2026, 17:32

Airtel yazindua minara mitano mipya nchini

Airtel Tanzania inaendelea kuipa kipaumbele upanuzi wa mtandao kama sehemu ya dhamira yake ya kukuza ujumuishi wa kidijitali, kuhakikisha wananchi wote nchini wanapata huduma za simu na intaneti zenye uhakika, gharama nafuu, na ubora wa juu. Na Bennard Komba Kampuni…

16 January 2026, 15:27

Vodacom kutoa kipaumbele kwa wenye mahitaji maalum

Besiimire amesema duka hilo ni mkombozi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma na mikoa jirani iliyo katika Kanda ya Kati kutokana na kuboreshwa kwa huduma zake. Na Yussuph Hassan. Kampuni ya Mtandao wa Simu ya Vodacom imesema imejipanga kuhakikisha  inatoa…

16 December 2025, 13:15

Kibondo, Uvinza zatolewa mashindano ya ujirani mwema Burundi

Mashindano ya ujirani mwema yaliyokuwa yanaendelea katika Wilaya ya Makamba Nchini Burundi Timu kutoka Mkoa wa Kigoma Tanzania zimetolewa kwa kipigo Na Mwandishi wetu Burungu, Burundi Timu za wachezaji mchanganyiko za wilaya za Kibondo na Uvinza za mkoani Kigoma nchini…

22 October 2025, 15:50

Wananchi watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia chanya

Hadi sasa, mamlaka mbalimbali zimeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu usalama wa mitandaoni na matumizi sahihi ya teknolojia, huku ikiendelea kuhamasisha matumizi bora ya TEHAMA kwa maendeleo ya jamii. Na Anwary Shaban.Wananchi nchini wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia…