Radio Tadio

Jamii

January 20, 2024, 9:01 pm

Zaidi ya kaya 20 zaathiriwa na upepo mkali Makete

Ikiwa mamlaka za utabiri wa hali ya hewa nchini zinazidi kutoa tahadhari juu ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, baadhi ya maeneo katika mikoa na wilaya kumetokea athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na vifo vya binadamu pamoja na uharibifu wa miundombinu.…

19 January 2024, 1:29 pm

Waliomteka mtoto na kudai milioni 4 watiwa mbaroni Mbogwe

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limejipanga kukabiliana na matukio ya ukatili kwa watoto ikiwemo ya kubakwa na kuuawa. Na Mrisho Shabani – Geita Jeshi la polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu watatu wilayani Mbogwe kwa tuhuma za kumteka mtoto…

16 January 2024, 14:42

Polisi Mbeya yaadhimisha “police family day”

Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeadhimisha “Police Family Day” kwa kushiriki shughuli mbalimbali na michezo na familia zao. Akifungua sherehe za maadhimisho ya “Police Family Day” Januari 12, 2024 katika uwanja wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia…

15 January 2024, 12:26 pm

Wafungwa gereza la Kihesa Mgagao wapewa msaada

Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Dkt Ritta Kabati ametoa msaaada kwa wafungwa wa gereza la Kihesa Mgagao wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. Akizungumzia kuhusu msaada alioutoa Dkt Kabati amesema kuwa Ametoa sabuni, dawa za meno,…

11 January 2024, 17:42

Kyela:Vitambulisho 36 elfu vya utaifa vyatolewa na NIDA Kyela

Baada ya serikali kutoa vitambulisho vya utaifa vya NIDA kwa wilaya ya Kyela wananchi wilayani hapa wamesusia kuchukua vitambulisho hivyo licha ya serikali kutumia nguvu kubwa katika kuwahamasisha. Na James Mwakyembe Siku chache baada ya mkuu wa wilaya ya Kyela…

6 January 2024, 10:21 pm

Mbunge Saashisha Mafuwe amlilia katibu wake

Aliyekuwa katibu wa mbunge jimbo la Hai Mwl. Benson Lema azikwa kijijini kwao Nronga – Machame. Na Elizabeth Mafie Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe wameshiriki katika ibada ya maziko ya aliyekuwa katibu wake…

2 January 2024, 18:54

Dkt. Tulia afanya tendo la huruma kwa wakazi wa Rungwe

Na mwandishi wetu Spika wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Tulia Akson Mwansasu kupitia asasi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust amekabidhi nyumba mbili pamoja na kiti mwendo kwa wakazi wawili wenye mahitaji maalumu katika kata ya Kisondela…

28 December 2023, 18:20

Jamii yatakiwa kuondokana  na imani potofu

na Mwandishi wetu,Songwe Wanakijiji wa kijiji ya Hangomba wilayani Mbozi wametakiwa kuachana na imani potofu za kishirikina ikiwemo ramli chonganishi pamoja na unywaji wa pombe uliopindukia. Kauli hiyo imetolewa Disemba 17, 2023 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna…