Radio Tadio

Jamii

13 June 2026, 4:43 pm

Watatu wakamatwa kwa kutapeli wananchi Sengerema

Vishoka wawatapeli wananchi wakidai kuwaunganishia umeme maeneo ya vijijini Sengerema. Na Emmanuel Twimanye Watu watatu wamekamatwa katika kijiji cha Busulwangili, Kata ya Tabaruka, wilayani Sengerema mkoani Mwanza, kwa tuhuma za kuwatapeli fedha wananchi kwa lengo la kuwaunganishia umeme majumbani. Akizungumzia…

9 June 2026, 11:26

Washiriki wa UMISETA wafika mashindano ya Mkoa

UMISETA si mashindano ya michezo pekee bali ni chombo muhimu cha kukuza vipaji, nidhamu, afya, umoja na maendeleo ya wanafunzi Na Mwandishi wetu Kambi ya mashindano ya UMISETA Wilaya ya Uvinza imehitimishwa rasmi huku washiriki wakielekea Wilayani Kasulu kushiriki mashindano…

24 May 2026, 21:27

Watoto Zanzibar wadai sheria imara kulinda haki zao

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Siti Abasi Ali, amesema serikali inaendelea kuboresha Sheria ya Mtoto ili kuhakikisha watoto wanaishi katika mazingira salama na yenye ulinzi bora.Watoto kupitia mabaraza yao ya Unguja na Pemba…

24 May 2026, 09:53

Mufindi wajiandaa kuupokea Mwenge

Mwenge huo utatembelea kata zote za Wilaya ya Mufindi DC na Halmahauri ya Mji Mafinga kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Na Fredrick Siwale Wilaya ya Mufindi inatarajiwa kuupokea mwenge wa Uhuru tarehe 26/6/2026 ukitokea Mkoani Njombe kwa ajili ya…

11 May 2026, 08:57

UVCCM Iringa yaanza maandalizi kuupokea Mwenge

“Ujio wa Mwenge wa Uhuru utasaidia kukagua miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Mufindi” Na Fredrick Siwale Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi UVCCM Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa umeanza kufanya Hamasa na maandalizi ya kuupokea Mwenge wa uhuru Mwaka…

6 May 2026, 17:02

Walimu watakiwa kuongoza mapinduzi ya kidigitali Nchini

Amehitimisha kwa kusema kuwa matumizi sahihi ya teknolojia ya mawasiliano yanaweza kurahisisha maisha, kuokoa muda na kuongeza ufanisi katika shughuli mbalimbali za maendeleo. Na Anwary Shaban. Walimu nchini wametakiwa kuchukua jukumu kubwa katika kujenga kizazi chenye uelewa wa teknolojia na…

May 2, 2026, 3:22 pm

Taa za barabarani zaing’arisha Kibondo

Mkakati uliopo ni kuhakikisha mji wa Kibondo unakuwa na taa za kutosha zitakazoruhusu shughuli nyingine kufanyika hata majira ya usiku. Na Samwel Masunzu- Kibondo, KIGOMA Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma kupitia wakala wa barabara za mijini na vijijini…

25 March 2026, 09:45

PAC: Serikali imarisha miundombinu ya mawasiliano

Wananchi wametakiwa kutumia fursa hiyo ya kiteknolojia kujikwamua kiuchumi na kulinda miundombinu hiyo dhidi ya uharibifu. Na Mariam Kasawa Serikali imetakiwa kuendelea kuimarisha usimamizi wa miundombinu ya mawasiliano nchini ili kuchochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi wa vijijini.…