Radio Tadio

Jinsia

21 May 2026, 12:27

NEST daraja la mafanikio kwa wajasiriamali Kigoma

Mfumo wa NEST ni mfumo wa kielektroniki unaotumiwa na serikali kusimamia zabuni mbalimbali za umma na kupitia mfumo huu, wajasiriamali wanaweza kuona matangazo ya zabuni, kutuma maombi na kufuatilia taarifa mbalimbali zinazohusu manunuzi ya serikali kwa njia ya mtandao NEST…

1 April 2026, 9:19 am

Kuna umuhimu gani kwa kijana kuwa mzalendo?

“Uzalendo unaleta amani na kudumisha utamaduni” Na Leah Kamala Wananchi manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni yao kuhusiana na umuhimu wa kijana kuwa mzalendo, huku wakisisitiza kuwa uzalendo ni msingi wa maendeleo ya taifa. Wakizungumza na mpanda radio FM…

19 March 2026, 5:18 pm

Manyara wafanyiwa uchunguzi wa afya ya kinywa na meno

Zadi ya wananchi 5000 katika Mkoa wa Manyara wamefanyiwa uchunguzi wa afya ya kinywa na meno ambapo kati yao 318 wamepatiwa matibabu ya kuzibwa meno, 191 wamesafishwa, zaidi ya 500 wamen’golewa meno, 14 wamefanyiwa upasuaji mdogo, 3 upasuaji mkubwa  na…

16 March 2026, 8:47 pm

Ujenzi wa choo kusaidia wanafunzi kutojisaidia vichakani

Kutokana na uhaba wa matundu ya vyoo shuleni hapo, wanafunzi hao wenye mahitaji maalumu walikuwa wakilazimika kujisaidia sehemu zisizo salama kwa kuogoapa kuchangamana na wenzao. Na Mwandishi wetu Kufuatia wanafunzi wenye mahitaji Maalum katika shule ya Msingi Madaraka wilayani Butiama…

21 August 2025, 2:58 pm

Msako madereva Bajaji wavunja sheria Geita

Oparesheni hiyo ni endelevu na inalenga kulinda usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara Na Kale Chongela. Na Kale Chongela: Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita limesema halitawafumbia macho madereva wanaovunja sheria za usalama barabarani…

8 December 2023, 10:50 am

Makala: Ukatili wa kijinsia ni kinyume na Haki za binadamu

Watoto wa kike kutoka jamii za kimaasai wanaeendelea kuwa wahanga wakubwa wa ukatili wa kijinsia Na Saitoti Saringe Kutokana na mila kandamizi katika jamii ikiwemo ukeketaji, kutopewa fursa ya elimu na kumiliki ardhi ni sababu kubwa inayopelekea watoto wengi kutoka…

20 November 2023, 11:12

Ushiriki wa mwanamke kwenye nafasi za uongozi

Nimefarijika kuona jinsi gani wananchi wa Mkunwa na viongozi wao wapo tayari kuhakikisha kwamba wanawake wenye uwezo na vigezo wanaweza kushiriki katika nafasi mbalimbali za uamuzi. Na Musa Mtepa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umefurahishwa na Maendeleo ya Mradi wa…

19 November 2023, 12:22

Ushirikiano wa wenza katika kumiliki mali

Na Leonard Mwacha. Hii leo tunaangazia umuhimu wa wenza kushirikiana katika umiliki wa mali. Mwenzetu Leonard Mwacha amefanya mazungumzo na mwanasheria na ameanza kumuuliza hali ikoje kwa wanawake kushirikishwa katika umiliki wa mali wa pamoja na wenza wao.