
Recent posts

16 November 2023, 4:02 pm
Tumbatu kunufaika na mradi wa maji baada ya kukamilika
Picha ya Tangi la maji lilojengwa tumbatu ambalo linauwezo wa kuingia lita milioni moja. Picha na Vuai Juma Kukamilika kwa mradi kutapunguza tatizo la maji kisiwani tumbatu kwa kiasi kikubwa. Picha ya katibu tawala Tumbatu akiambatana na viongozi wengine katika…

16 November 2023, 3:28 pm
TCRA Zanzibar yahimiza matumizi ya leseni kidijitali
Picha ya meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA Zanzibar) Picha na Makame Pandu. “Matumizi sahihi ya hudma za kimtandao yataepusha makoza yanayojitokeza kwa watumiaji.” Na Makme Saplaya. Vijana wa mkoa Kaskazin Unguja wametakiwa kuwa wabunifu katika matumizi ya mitandao…

16 November 2023, 3:13 pm
Miaka 10 ya Tumbatu Fm, wenye ulemavu wathaminiwe
Radio ya jamii Tumbatu inaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ambapo maadhimisho hayo yanaambatana na kufanya matendo ya huruma kwa jamii hasa wenye mahitaji maalum. Na Mwanahawa Hassan. Jamii imetakiwa kuishi vizuri na watu wenye ulemavu na kuwapatia mahitaji yao…

12 November 2023, 12:18 pm
Wakulima Kibokwa watakiwa kupisha uwekezaji
Picha ya waziri wakilimo na umwagiliaji Shamata Shame (aliye nyoosha kidole)akiwa katika kikao na wakulima wa bonde la mpunga kibokwa. Na Abdul – Sakaza. “Ushirikishwaji kati ya serekali na wakulima katika harakati za kimaendeleo kutasaidia kutatua changamoto mbalimbali hasa linapokuja…

12 November 2023, 11:34 am
Wizara ya afya zanzibar yafanya muendelezo wa uchunguzi wa saratani ya shingo ya…
Picha ya Wazriri wa Afya Zanzibar akizungumza na watendaji wa Hospitali ya Najing ya nchini China kuhusiana na zoezi la uchunguzi WA shingo ya kizazi. Picha na Habari maelezo “Saratani ya shingo ya kizazi ni moja ya ugonjwa hatari sana…

12 November 2023, 11:16 am
Wanafunzi Tumbatu washauriwa kuchunguuza afya zao.
Picha ya wanafunzi wa skuli ya sekondari Tumbatu. Na Vuai Juma. Na Vuai Juma Wanafunzi Kisiwani Tumbatu wameshauriwa kuwa na tabia ya kuchunguuza afya zao mara kwa mara ili kuweza kufahamu mwenendo wao wa kiafya. Ushauri huo umetolewa na Daktari…

30 September 2023, 8:27 am
Wakulima wa mwani Tumbatu watakiwa kuacha mazoea katika kazi zao
Zao loa mwani ni kilimo muhimu ambacho kinafaida katika maisha ya binadamu hivyo ni wajibu kukiendeleza. Na Makame Pandu. Wakulima wa mwani kisiwani Tumbatu wametakiwa kufanya juhudi zitakazowawezezesha kulima zao hilo kwa wingi zaidi ili waweze kujikwamua na umaskini. Akifungua…

4 September 2023, 4:55 pm
Wanahabari watakiwa kuongeza taaluma zaidi
Ikiwa wandishi wa habari watajenga tabia ya kujifunza zaidi kuhusu madhara ya upungufu wa damu hasa kwa wananwake na wasichana wataweza kuandaa vipindi vilivyo bora na ambavyo vitatoa masada mkubwa kwa jamii juu ya kukabiliana na tatizo hilo. Na Juma…

29 August 2023, 1:29 pm
Huduma ya kuzalisha wajawazito yarejea kisiwani Tumbatu
Kurejea kwa huduma za kuzalisha akina mama wajawazito Tumbatu kutawaondoshea usumbufu akina mama hao kisiwani humo. Mwandaaji ni Maulid Juma na Msimulizi ni Mwanahawa Hassan.

10 August 2023, 8:47 am
Tadio yatoa mafunzo kwa radio za kijamii Zanzibar
Kuchapisha tarifa katika mtandao wa radio TADIO kutaongeza idadi ya wafuatiliaji wa tarifa za radio za kijamii. Na Vuai Juma. Wandishi wa habari wa radio za kijamii Zanzibar wametakiwa kuitumia fursa ya kutuma kazi zao katika mtandao wa radio tadio…