Tumbatu FM

Recent posts

10 August 2023, 8:47 am

Tadio yatoa mafunzo kwa radio za kijamii Zanzibar

Kuchapisha tarifa katika mtandao wa radio TADIO kutaongeza idadi ya wafuatiliaji wa tarifa za radio za kijamii. Na Vuai Juma. Wandishi wa habari wa radio za kijamii Zanzibar wametakiwa  kuitumia fursa ya kutuma kazi zao katika mtandao wa radio tadio…

9 August 2023, 1:59 pm

Wazazi, walezi Tumbatu watakiwa kutoa ushirikiano kwa walimu

Uwepo wa mashirikiano kati ya wazazi na walezi kutaongeza idadi ya ufaulu. Na Latifa Ali Wazazi na walezi wa wanafunzi wanaosoma katika  skuli ya msingi “B” kisiwani tumbatu wameatakiwa  kushirikiana na walimu wa skuli hiyo  ili kuhakikisha  wanafunzi wanasoma  na…

7 August 2023, 11:14 am

Waratibu Shehia acheni kutoa taarifa kwa mazoea

Vitendo vya udhalilishaji vinarejesha nyuma maendeleo ya wanawake na watoto Na Vuai Juma Waratibu wa shehia pamoja na wasaidizi wa sheria Mkoa wa kaskazini Unguja wametakiwa kuachana na tabia ya kutoa taarifa kwa mazoea hususani katika masuala ya kesi za…

28 September 2021, 2:11 pm

Kaskazini Unguja yashauriwa kupinga vitendo vya udhalilishaji

Uingijaji wa wageni kiholela ndani ya mkoa wa kaskazini Unguja ndio chanzo cha kuwepo Utelekezaji wa familia. Na Vuai Juma. Serekali ya mkoa wa kaskazini unguja imeshauriwa kuweka mikakati Madhubuti kwa wageni wanaoingia katika  maeneo ya mkoa huo ili kuondoa…

Sample Page

Swahili

Radio jamii Tumbatu Fm ni chombo cha habari ambacho kimeanzishwa mwaka 2014 chini ya ufadhili wa Shirika la UNESCO Kwaajili ya kuwahudumia wakaazi wa jamii ya mkoa wa kaskazini unguja. Kituo hiki kimesajiliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar kama ni Radio inayosimamia maudhui ya habari za kujamii. Radio hii haifungamani na kulinda maslahi ya mrengo wa chama chochote cha siasa, Dini, Rangi au kabila lililokuwepo katika eneo ambalo radio inasikika.

Dira

Kuwa na jamii inayofuata Tanaduni zinazoelekeza kuwepo kwa ustawi wa elimu, uchumi, amani na Afya.

Dhamira

Radio Jamii Tumbatu inalenga kuifikia jamii kwa kuandaa vipindi vyenye kujenga uelewa wa mambo yatokanayo na jamii katika nyanja ya elimu, uchumi, Utamaduni, Amani, na Afya ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo.

…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………..

English

Tumbatu Community Radio is a media outlet established in 2014 under the auspices of UNESCO to serve the residents of the northern region of Unguja. The station is registered with the Zanzibar Broadcasting Commission as an independent radio station that manages social media content. This radio is not bound to protect the interests of any political party, religion, race or ethnic group present in the area where the radio is heard.

Vision

Having a society that follows Cultures that guide the existence of prosperity, education, economy, peace and health.

Mission

Community Radio Tumbatu aims to reach out to the community by organizing programs that build awareness of social issues in the fields of Education, Economics, Culture, Peace, and health to facilitate access to development.