Dodoma FM

Recent posts

19 August 2025, 14:50

Mpango wa 95 tatu utafanikiwa kwa wananchi kupima afya

Ni bonanza lililohusisha vijana wenye umri wa miaka 10–19, ambapo wameshiriki katika majadiliano ya wazi na yenye mwongozo kuhusu ufuatiliaji wa matibabu , huduma bora za kliniki, mahusiano na marafiki, na changamoto mbalimbali ikiwemo unyanyapaa. Na Seleman Kodima. Ili kufanikisha…

18 August 2025, 17:51

Ramli chonganishi yapelekea mwanafunzi kupoteza maisha

Hata hivyo Jeshi la Polisi limefika katika eneo la tukio na kueleza kuwa uchunguzi unaendelea na hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wote waliohusika. Na Kitana Hamis.Mtoto Yohana Amani Konki (17), mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Qashi,…

18 August 2025, 17:17

UCSAF yawataka wananchi kuripoti kwao kero ya mtandao

Aidha, wananchi walielezwa kuhusu miradi mbalimbali ya kimkakati inayotekelezwa na UCSAF ikiwemo maendeleo ya ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano nchini. Na Mariam Kasawa.Imeelezwa kuwa mawasiliano ni muhimu katika kukuza uchumi wa Taifa hili hasa katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo…

18 August 2025, 15:09

Wagombea waendelea kujitokeza kuchukua fomu

Ikumbukwe kuwa Zoezi la utoaji wa fomu za uteuzi wa kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 limeanza rasmi tarehe 14 Agosti 2025 na linatarajiwa kumalizika tarehe 27 Agosti 2025, kwa mujibu wa ratiba ya…

18 August 2025, 12:48

Wananchi Malechela waiomba serikali kuwakumbuka nishati safi

Fursa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia itawapunguzia wanawake kutumia muda mrefu wa kutafuta kuni kwaajili ya kupikia. Na Victor Chigwada.Wananchi wa vitongoji vya Sokoine na Malechela wameiomba Serikali kuwakumbuka katika miradi ya uhamasishaji wa matumizi ya Nishati mbadala…

14 August 2025, 18:18

DUWASA yakamilisha zoezi la ulipaji fidia

Baadhi ya maeneo hayo ni pamoja na Nzuguni, Zuzu Nala, Nala Chihoni na Kibaigwa. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Maji, imekamilisha zoezi la ulipaji wa fidia yenye jumla ya Shilingi Milioni 999 kwa wananchi 103…

14 August 2025, 17:40

Yafahamu maua kwa ishara ya usafi na uwiano wa asili

Ethaning Flowers wanaamini kuwa utunzaji wa mazingira na maua ni mambo yanayoshirikiana kwa karibu. Na Lilian Leopold. Katika ulimwengu wa leo unaokabiliwa na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na uchafuzi wa mazingira, Ethaning Flowers wamejipambanua kama taasisi inayothamini uzuri na…

14 August 2025, 17:01

NGOs zatakiwa kutekeleza majukumu kwa kuzingatia uwazi

Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na mashirika haya ili kuimarisha ubora wa huduma, kuendeleza mshikamano wa kijamii, na kuchochea maendeleo endelevu kwa manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Na Mariam Matundu.Serikali ina jukumu la kuhakikisha kuwa Mashirika Yasiyo Ya…

12 August 2025, 13:30

Uchukuaji wa fomu wabeba taswira ya democrasia

Picha ni Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo wakati akichukua fomu hapo jana Hafla hiyo imefanyika kwenye ofisi za Tume zilizopo Njedengwa Jijini Dodoma.Picha na Tume ya uchaguzi. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii…

12 August 2025, 11:27

NGO’s zatakiwa kuwajibika katika kuwahudumia wananchi

Naibu Waziri Mwanaidi ameeleza kwamba uwazi na uwajibikaji wa Mashirika hayo ndiyo msingi wa kutambuliwa kwa mchango wao katika maendelo ya Taifa. Na Mariam Matundu.Mashirika yasiyo ya Kiserikali yametakiwa kuwa wazi na kuwajabika katika utekelezaji wa majukumu yao hasa kuwahudumia…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger