Recent posts
9 October 2025, 10:31
Kanda namba tatu yatoa elimu ya mapato Mbalawala
Picha ni baadhi wa wananchi wakiwa na mifugo yao katika Mnada wa Mbalawala. Picha na Lilian Leopold. Katika ziara hiyo, timu ya watumishi wa kanda ilishiriki katika shughuli za makusanyo ya ushuru wa mifugo, biashara ndogo ndogo, pamoja na utoaji…
8 October 2025, 17:21
Odilo yaishukuru DMG kwa udhamini baada ya kung’ara ligi ya kikapu
Picha ni wachezaji wa timu ya kikapu ya Odilo kutoka mkoa wa Dodoma. Picha na Hamis Makila. Wachezaji hao wameipongeza kampuni hiyo kwa kujitokeza kuunga mkono michezo mkoani Dodoma na wameomba kuendelea kudhaminiwa katika mashindano yajayo. Na Hamis Makila. Baada…
8 October 2025, 14:37
Mhandisi Aron awasisitiza watumishi kuboresha huduma kwa wananchi
Uzinduzi huo umeonesha dhamira ya DUWASA kuendelea kujenga mahusiano bora na wananchi, huku ikiboresha huduma kwa kuzingatia maoni na mahitaji ya wateja wake. Na Selemani Kodima. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi…
8 October 2025, 12:37
Wananchi Mzula, Chikanga waomba shule ya sekondari
Mwenyekiti wa Kijiji Cha Muungano Matonya Mtukamsihi amesema zimekuwepo hatua za wananchi kuanzisha ujenzi wa shule ya sekondari lakini hazijafanikiwa kukamilika. Na Victor Chigwada. Wananchi wa vitongoji Mzula na Chikanga Kata ya Muungano Wilaya ya Chamwino wameiomba serikali kutimiza azima…
8 October 2025, 11:54
Wananchi kudumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu
Wameongeza kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayosifika kwa utulivu na amani, hivyo ni jukumu la kila mmoja kulinda tunu hiyo muhimu kwa kushiriki uchaguzi kwa utulivu na bila viashiria vya vurugu. Na Victor Chigwada. Licha ya mijadala…
8 October 2025, 11:12
Visima vya TASAF vyaleta nafuu, foleni ya maji yaendelea Mjeloo
. Wameongeza kuwa mbali na visima hivyo lakini bado wamekuwa wakitumia muda mwingi kukaa kwenye foleni kwani visima hivyo havitoi maji yakutosha. Na Victor Chigwada. Wananchi Kijiji Cha Mjeloo, wilaya ya Chamwino wamesema kuwa pamoja na uhaba wa huduma ya…
8 October 2025, 10:23
Watoto hatarini kwa imani potofu za meno ya plastiki
Aidha, ripoti ya kimataifa ya mwaka 2023 kuhusu afya ya kinywa barani Afrika inaonyesha kuwa zaidi ya watoto 1 kati ya 10 katika baadhi ya maeneo ya Tanzania hupoteza maisha au hupata maambukizi makubwa kutokana na vitendo hivyo vinavyofanywa bila…
6 October 2025, 18:03
Senyamule: Michezo ni nguzo ya afya na maendeleo ya jamii
Picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule katika hafla ya Capital City Marathon . Picha na Lilian Leopold. Amesisitiza kuwa ni wajibu wa kila mtu kujitokeza kushiriki katika shughuli za michezo ili kudumisha afya na kuongeza ubunifu…
6 October 2025, 17:07
Jamii yaaswa kuacha kuwabeza makondakta wanawake
Kazi ya ukondakta ni kazi kama kazi nyingine, hivyo wanawake wana nafasi sawa ya kuifanya bila kubaguliwa. Picha na Blog. Amesema wanawake hao wamekuwa wakijituma kama watu wengine katika kutafuta kipato, ili kuhakikisha familia zao zinapata mahitaji ya msingi na…
6 October 2025, 15:30
Bonanza Bahi latoa elimu ya malezi na haki ya mtoto
Picha ya pamoja ya mgeni rasmi Kamanda wa Polisi jamii na wanamichezo. Picha na Selemani Kodima. Katika Bonanza hilo ambalo limehusisha Mchezo wa mpira wa Miguu kwa kushuhudia mechi zikichezwa na baadhi ya timu zikijinyakulia zawadi mbalimbali ikiwemo Mbuzi,Vifaa vya…