Recent posts
29 September 2025, 14:37
Kisasa heroes yaaga mashindano ligi ya kikapu mkoa
Na Hamis Makila. Timu hiyo ya kisasa heroes baada ya kuaga mashindano ya kikapu Mkoa imewaahidi mashabiki wake kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya Kitaifa ya Kikapu.
29 September 2025, 14:23
UCSAF yakamilisha minara 734, ujenzi wafikia asilimia 96.83
Minara iliyosalia ni 24 pekee, na inatarajiwa kukamilika hivi karibuni ili kuhakikisha huduma za mawasiliano zinafika katika maeneo yote yaliyopangwa. Na Mariam Matundu.Ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano unaosimamiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umefikia hatua kubwa ya…
29 September 2025, 14:13
Uzembe kisheria unavyoharibu mazingira Dodoma sehemu ya 2
Utupaji wa taka ovyo unatajwa kuharibu mazingira kwa kiasi kikubwa kwa kusababisha taka nyingi kusambaa ovyo. Na Mariam Kasawa. Msikilizaji, leo tunazungumzia Kutotekelezwa kwa sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 sura 20 kufungu cha 114-116 kumesababisha kulundikana kwa…
26 September 2025, 16:02
Sababu kocha Dodoma Jiji FC kutoonekana benchi la ufundi
Na Hamis Makila. Msemaji wa timu ya Dodoma jiji Moses Mpunga akizungumza na Dodoma redio amesema kuto onekana kwa kocha wao kwenye benchi la ufundi ni kutokana na kanuni zao za ndani.
26 September 2025, 15:28
Tume ya utumishi wa umma kutoa maamuzi ya rufaa 108 jijini Dodoma
Miongoni mwa sababu zinazojitokeza mara kwa mara katika rufaa hizo ni pamoja na Kukiuka maadili ya utumishi wa umma,Kughushi vyeti au kutoa taarifa za uongo,Uzembe kazini,Wizi wa mali za umma Na Seleman Kodima.Tume ya Utumishi wa Umma inatarajia kutoa maamuzi…
26 September 2025, 15:07
MTAKUWWA kutoa elimu juu ya madhara ya ajira kwa watoto
Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) Halmashauri ya Jiji la Dodoma umefanya kikao kwaajili ya kuandaa mpango wa kuelimisha jamii na kuhakikisha watoto wanaenda shule na kuepuka mazingira hatarishi ya ajira zisizo rasmi. Na…
26 September 2025, 14:14
Uzembe kisheria unavyoharibu mazingira Dodoma
Msikilizaji, leo tunazungumzia Kutotekelezwa kwa sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 sura 20 kufungu cha 114-116 kumesababisha kulundikana kwa taka za majumbani katika mitaa ya Chanagnyikeni, Kibaoni na St Gemma katika kata ya Miyuji Jijini Dodoma. Na Mariam…
26 September 2025, 12:41
VEO Paranga watakiwa kuwajibika kwa wananchi
Hatua hizi zinakuja baada ya Shirika la AFNET kwa kushirikiana na Ofisi ya TAKUKURU wilayani Chemba na Kamati ya Ufuatiliaji ngazi ya jamii, kuendesha zoezi la kubaini miradi ya kufuatilia katika vijiji vya Kelema Kuu na Sori mwezi Agosti mwaka…
25 September 2025, 16:22
Sauti ya tiba sehemu ya nne
Karibu katika igizo la sauti ya tiba sehemu ya nne uweze kujifunza na kuburudika kupitia Dodoma fm redio.
25 September 2025, 16:01
Zimamoto Dodoma yaendelea na upanuzi wa barabara ndani ya masoko
Upanuzi wa barabara unafanyika kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa huduma za dharura pindi majanga yatakapojitokeza. Na Lilian Leopold.Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma Septemba 24, 2025 limeendelea na zoezi la kupanua barabara ndani ya masoko ambapo limefanyika…