Recent posts
25 September 2025, 15:06
Wajibu wa wazazi, walezi katika elimu ya afya ya uzazi kwa vijana
Mikakati kama vile elimu ya kina ya afya ya uzazi kwa vijana, upatikanaji wa huduma rafiki za afya, na ushirikishwaji wa jamii katika kubadili mitazamo potofu kuhusu mimba za utotoni inahitajika. Na Mariam Matundu. Wazazi na walezi wana wajibu wa…
25 September 2025, 13:58
Elimu afya ya uzazi inavyoepusha mimba za utotoni
Wasichana walio katika hatari kubwa ya kupata mimba wapatiwe motisha ili kuwasaidia kumaliza shule kama vile malipo ya kifedha au programu za masomo. Na Mariam Kasawa. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni WHO limetoa mwongozo mpya wa kimataifa unaolenga kuzuia…
25 September 2025, 13:32
Ipi nafasi ya mwanamme kwa mwanawake wanawania nafasi za uongozi?
Hakuna shaka kuwa ili kufikia usawa wa kijinsia, wanawake wanahitaji kujiandaa kwa namna ya kipekee na kujipanga vizuri zaidi katika kupata nafasi za uongozi. Ingawa vyama vya siasa vimeanzisha mikakati ya kuwawezesha wanawake, bado kuna upungufu wa ufanisi katika utekelezaji…
24 September 2025, 18:28
Wananchi watakiwa kuzingatia sheria ya mirathi
Komba ameitaka jamii kwa ujumla kutafuta ushauri wa kisheria mapema wanapokutana na changamoto zinazohusiana na mirathi, ili kuhakikisha haki za warithi zinatimizwa na mgogoro wowote unatatuliwa kwa mujibu wa sheria. Na Joseph Julius.Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuzingatia masharti ya sheria…
24 September 2025, 18:06
Bodaboda watakiwa kujiunga na vyama vya wafanyakazi
Maafisa usafirishaji wametakiwa kuhakikisha wanapata vitambulisho vya kidijitali vya wafanyabiashara wadogo ili kuwasaidia kupangiwa maeneo rasmi ya kufanyia kazi. Na Lilian Leopold.Zaidi ya vijana 23,000 jijini Dodoma wanajipatia kipato cha kila siku kupitia uendeshaji wa pikipiki na bajaji . Wakizungumza…
23 September 2025, 17:01
Mwendelezo wa igizo la sauti ya tiba sehemu ya tatu
Karibu uendelee kusikiliza mfululizo wa Igizo la sauti ya tiba leo tukisalia sehemu ya tatu ili uweze kuburudika na kuelimika.
23 September 2025, 16:46
Wafanyakazi wa nyumbani wanakumbana na ukatili-ILO
Wafanyakazi wa nyumbani bado wanakumbwa na unyanyasaji kwa sababu kazi hiyo haieshimiwi kama kazi rasmi. Na Lilian Leopold.Kulingana na ripoti kutoka Shirika la Kazi Duniani (ILO), zaidi ya watu milioni moja wameajiriwa kama wafanyakazi wa nyumbani nchini na wengi wao…
23 September 2025, 16:27
Ng’ambaku waiomba serikali kuboresha miundombinu ya barabara
Wamesema kuwa hata kama barabara hizo hazijawekewa kiwango cha lami, ni vyema kujengewa mifereji pembezoni ili maji yatiririke kwa urahisi. Na Victor Chigwada.Imeelezwa kuwa mvua pamoja na maji yanayotiririka yamekuwa changamoto kubwa kwa barabara za vijijini, kutokana na vifusi vinavyotumika…
23 September 2025, 15:45
TRA Dodoma yasisitiza ulipaji kodi kwa wakati
Amewaomba wafanyabiashara kutumia fursa ya zoezi hilo la elimu ya kodi mlango kwa mlango kwa ajili ya kutoa changamoto zao za kikodi zinazowakabili ili ziweze kupatiwa ufumbuzi. Na Lilian Leopold.Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Dodoma Bw.…
22 September 2025, 16:53
Mifumo ya elimu yatajwa kuwatatiza vijana wanapofika vyuoni
Hata hivyo, wanasema kuwa tofauti hiyo haizuizi kupata msaada wa kitaaluma na kuendelea kukuza elimu yao pasipo mashaka. Na Victor Chigwada .Imeelezwa kuwa tofauti za mfumo wa elimu ya juu na ule wa msingi na sekondari zimekuwa changamoto kwa baadhi…