Dodoma FM

Recent posts

2 July 2025, 10:21

Afariki dunia baada ya kushambuliwa na fisi

Jitihada za kumwokoa hazikufanikiwa. Na Kitana Hamis.Kijana mmoja aitwaye Fredy Peter, mkazi wa Kijiji cha Seleto, Dareda Misheni, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na kundi la fisi . Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo,…

27 June 2025, 10:11

Kitovu cha kimataifa cha rasilimali za uziwikutoona chazinduliwa

Ni muhimu kutambua kundi la watu wenye ulemavu wa uziwikutoona. Na Mariam Kasawa. Imeelezwa kuwa licha ya Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine duniani, kuwa na  kundi la Watu wenye Ulemavu ambalo, licha ya kuwa kundi dogo kwa idadi ya watu…

25 June 2025, 15:46

Wananchi waendelee kupatiwa elimu athari ya dawa za kulevya

Mwezi juni kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kupiga vita dawa za kulevya ambapo maadhimisho hayo hufanyika kwa siku tatu mfululizo kuanzia june 24 ,25 na 26 Na Anwary Shaban. Katika kuadhimisha siku ya kupiga vita dawa za kulevya duniani…

25 June 2025, 10:54

Wanawezaje kuzishinda mila, desturi kupata nafasi za uongozi kisiasa?

Katika jamii nyingi, mila na desturi huwakosesha wanawake fursa ya kushiriki katika mchakato wa maamuzi iwe katika familia, kijiji au hata kwenye taasisi za kisiasa. Karibu msikilizaji wa makala ya Amua inayoandaliwa na kutangazwa na Dodoma FM. Makala hii inakujia…

24 June 2025, 12:36

UDOSO yazindua mfuko maalum ufadhili wa masomo

Katika safari ya kutafuta elimu bora, bado kuna kundi la vijana ambao hupambana na changamoto za kiuchumi. Na Mariam Kasawa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOSO)  imezindua mfuko maalum wa kuwasaidia wanafunzi wanaoshindwa kumudu gharama za masomo.…

19 June 2025, 16:55

Soko la Kariakoo ni mchango mkubwa kwa uchumi wa taifa

Jumla ya wafanyabiashara 30 wa kariakoo ambao ni washindi wa Tuzo za kariakoo wamewasili leo Jijini Dodoma baada ya kupokea mwaliko wa kushiriki vikao vya bunge na watatembelea Miradi mbalimbali katika Jiji la  Dodoma. Na Seleman Kodima. Wafayabiashara wa Soko…

19 June 2025, 12:36

UDOM yawapongeza washindi wa Huawei ICT global competition 2025

Zoezi hilo lilienda sambamba na utoaji wa Vyeti kwa wanafunzi waliofanya Vizuri katika mashidano hayo. Na Mariam Kasawa. Uongozi wa Chuo kikuu cha Dodoma UDOM umewapongeza wanafunzi waliofanya Vizuri katika Mashindano ya Huawei ICT Global  Competition 2025 yaliyofanyika nchini China…

17 June 2025, 15:28

Serikali yaahidi kuendelea kutumia tafiti za vyuo vikuu

Kongamano lapili la sayansi ya Afya chuo kikuu cha Dodoma linafanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa jiji Mtumba ambapo kaulimbiu ya mwaka huu inasema Evidence based practise and innovation in addres heaith challenges. Na Mariam Kasawa. Serikali kupitia wizara…

10 June 2025, 15:55

Hospitali ya wilaya yaleta ahueni kwa wakazi wa Mlowa

Wakazi hao wameishukuru Serikali kwa kukamilisha hospitali hiyo ya Wilaya kwani imewapunguzia gharama za kusafiri kwenda hospitali zingine. Na Victor Chigwada. Ujenzi wa hospitali mpya ya Wilaya ya Chamwino katika Kata ya Mlowa barabarani umetajwa kuongeza tija kwa wananchi na…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger