Recent posts
26 May 2025, 13:01
Wauguzi Manyara walia na ucheleweshwaji wa stahiki zao
RC Queen amesisitiza kuwa malipo hayo ni haki yamsingi kwa watumishi hao na ni muhimu kwao kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi. Na Kitana Hamis. Wauguzi mkoani Manyara wameiomba Serikali kuwalipa stahiki zao kwa wakati ili waweze kujikimu kimaisha ili…
21 May 2025, 16:31
Ekari 20 za mazao zafyekwa na wafugaji Kiteto
Wakazi wa kijiji hicho wameiomba serikali kutafuta njia mbadala ili wafugaji hao wapate sehemu za malisho. Na Kitana Hamis.Zaidi ya Ekari 20 za shamba lenye mazao ya mahindi na alizeti za kulima Twalib Shaban zimefyekwa na wafugaji wa jamii ya…
20 May 2025, 15:53
Ukosefu wa vivuko reli ya SGR kilio kwa wakazi wa Mnase
Wananchi wanadai kuwa changamoto hii imeshindwa kupatiwa ufumbuzi. Na Victor Chigwada. Wananchi wa vitongoji vya malechela ,Lusinde na sokoine Kijiji Cha Mnase wameendelea kulia na changamoto ya kukosekana kivuko baina ya wananchi na reli ya mwendokasi(SGR) Wakieleza namna changamoto hiyo…
20 May 2025, 15:38
Rushwa katika uchaguzi na wanawake kuwania nafasi za uongozi
Rushwa katika siasa ni moja ya vikwazo vikubwa vinavyowakwamisha wanawake kuwania nafasi za uongozi. Karibu katika makala ya Amua, makala ambayo inakujia kupitia Dodoma FM, na wiki hii tunajadili kwa pamoja kuhusu Rushwa katika uchaguzi inavyokwamisha wanawake kuwania nafasi za…
20 May 2025, 15:24
Wakazi Chinugulu watembea umbali mrefu kutafuta maji
Aidha umbali uliopo kutoka Kijiji cha Chinugulu mpaka mto Kizito ambako ndipo maji yanapatikana ni hatari kwa wananchi kwani mto huo unatumiwa pia na wanyama waliopo katika hifadhi ya wanyama ya Ruaha. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa umbali wa zaidi…
20 May 2025, 13:36
Wazazi watakiwa kuacha kushawishi wanafunzi kujifelisha
Zaidi ya Watoto 450 wilayani kongwa wanapita changamoto ya ukosefu wa mahitaji muhimu Na Seleman Kodima. Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Saimon amewataka wazazi na walezi wilayani humo kuacha tabia ya kuwaambia watoto wao wafeli mitihani ili kuwakatisha masomo …
14 May 2025, 16:18
Wadau waomba taasisi binafsi kufanya punguzo sekta ya utalii
Ili kuwepo na tija katika sekta ya utaalii nanchi iweze kuongeza pato la taifa ni vema serikali ikaweka mazingira rafiki. Na Farashuu Abdallah.Baadhi ya wadau wa masuala ya utalii wameshaur kuwepo na punguzo la tozo katika taasisi binafsi zinazo shughulikia…
14 May 2025, 13:55
Kiteto wakumbwa na hofu eneo la makaburi kujaa
Hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa eneo hilo kwani wananchi wanadai kuwa hakuna eneo mbadala. Na Kitana Hamis.Wakazi wilayani Kiteto mkoani Manyara wahofia kukosa maeneo ya kuzika kutokana na eneo la makaburi kujaa. Hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa eneo…
13 May 2025, 17:03
Babati kuja na mkakati kumaliza matukio ya ukatili
Hii ni kufuatia tukio la hivi karibuni la binti mwenye Umri wa miaka 13 Kubakwa na kuuawa. Na Kitana Hamis.Mkuu wa Wilayani ya Babati Emmanuela Kaganda Ametangaza Oparesheni ya kumaliza Matukio ya ukatili ikiwemo Ubakaji. Hii ni kufuatia tukio la…
13 May 2025, 16:47
Tembo wageuka tishio wilayani Kiteto
Matukio hayo yamepelekea baadhi ya wananchi kuwa walemavu. Na Kitana Hamis.Kwa kipindi Cha Miezi 4 zaidi ya Watu 4 Wameuawa Wengine kujeruhiwa kwa kushambuliwa na Tembo. Matukio hayo yamepelekea baadhi ya wananchi kuwa walemavu huku Tembo hao wakiharibu mali pamoja…