Recent posts
11 March 2025, 12:36
Siku ya wanawake fursa ya kuangazia haki, usawa wa kijinsia
Siku ya wanawake duniani ilianza kuadhimishwa mwaka 1975 baada ya Umoja wa Mataifa kutangaza siku hii kama siku ya kukumbusha dunia kuhusu haki za wanawake. Tangu wakati huo, siku hii imekuwa ikitumiwa kama fursa ya kuhamasisha harakati za usawa wa…
11 March 2025, 11:07
Viongozi watatu Engusero mbaroni kwa kuhujumu uchumi
Hata Hivyo dhamana ya watuhumiwa hao ipo wazi lakini washitakiwa walishidwa Mashariti ambayo yalihitaji kila Mtuhumiwa adhaminiwe na Watu wawili ambao niwatumishi wa Serikali nawawe na sh: Milioni Tano. Na Kitana Hamis.Watumishi Watatu wa Serikali za Vijiji Engusero wapandishwa Kizimbani…
6 March 2025, 18:09
Mbaroni kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka 6 Kiteto
Mpaka sasa jumla ya mashahidi wanne (4) upande wa mashtaka wametoa ushahidi wao, mshtakiwa amerejeshwa rumande hadi 19/03/2025 kesi hiyo itakaposikilizwa tena . Na Kitana Hamis.Ally Bahi mwenye Umri wa miaka 37 Mkazi wa Kijiji Cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani…
6 March 2025, 17:50
Tanzania nchi ya kwanza kutumia mtambo unaotumia tiba hewa
Hospitali ya Taifa Muhimbili yenye kampasi mbili, ni Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa na kubwa kuliko zote nchini yenye vitanda 2,043 ambapo Upanga kuna vitanda 1,435 na Mloganzila vipo 608 ambapo Katika Kampasi zote mbili Wagonjwa 4,000 wanaonwa kwa siku.…
6 March 2025, 17:34
Jeshi la polisi Manyara lamfariji mjane kwa kumkabidhi kiwanja
Miaka kadhaa iliyo pita alimpoteza Mume wake Hali ya maisha yake ilibadilika na kupelekea yeye na familia yake kukosa mahali pa kuishi. Na Kitana Hamis.Jeshi la Polisi Wilayani Babati Mkoani Manyara limemfariji Mjane Mwenye Watoto Sita kwa kumkabidhi kiwanja na…
5 March 2025, 17:23
MOI yafanikiwa kuanzisha huduma zaidi ya 10 za kibobezi
Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge namba 7 ya mwaka 1996 lengo likiwa ni kutoa huduma za kibingwa na kibobezi za mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu. Na Alfred…
5 March 2025, 13:14
Tunawezaje kuondoa ukatili wa kiuchumi kwenye familia?
Katika kufahamu suala hilo mwandishi wetu Alfred Bulahya amefanya mahojiano na mkurugenzi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya GFF. Na Alfred Bulahya.Tunapozungumzia ukatili wa kiuchumi ni kitendo cha kikatili ambacho mtu mmoja anaweza kumiliki kwa nguvu vyanzo vya uchumi vya…
5 March 2025, 13:00
Tanzania yashiriki mkutano wa dunia wa mawasiliano ya simu
Wakati huo huo, Waziri Silaa ameshiriki Mjadala wa Kitaifa (National Dialogue Tanzania: Towards a Fully Digitalized Economy) katika kikao cha pembeni na Kampuni ya Watoa Huduma za Mawasiliano Duniani (GSMA) ambao ni waandaji wakuu wa mkutano wa MWC 2025. Na…
5 March 2025, 12:40
Wananchi Kiteto wafanya maombi ya kuomba mvua
Hii hapa taarifa yake kitana hamisi kutoka Wilayani Kiteto. Na Kitana Hamis.Wananchi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara Wamefanya Dua ya kuomba Mvua baada ya kuona Hali ya ukame inazidi huku mazao yakikauka siku hadi siku. Kitana Hamis ametuandalia taarifa kamili huu…
5 March 2025, 12:13
Msangalale walia na SGR kuharibu makazi yao
Wakazi wa maeneo hayo wamesema wamekuwa wakilalamika tangu mwaka 2019. Na Anwary Shaban.Wanachi Dodoma walia uwepo wa SGR unavyoharibu makazi yao. Wananchi wa kitongoji cha Msangalale kata ya Makulu jijini Dodoma wamelalamikia uharibifu wanaoupata kutokana na mafuriko ya maji yanayotoka…