Recent posts
10 June 2025, 14:56
Vijana Mlebe watakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya 10%
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kijiji cha Mlebe hakuna vikundi vya vijana katika kijiji chake zaidi ya kikundi kimoja cha akina mama ambacho ndicho kipo hai mpaka sasa. Na Victor Chigwada. Vijana wa Kijiji cha Mlebe wametakiwa kuchangamkia fursa za…
10 June 2025, 13:44
Mwongozo wa serikali wahitajika waliopata ujauzito kurejea shuleni
Licha ya serikali kuruhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kipindi cha masomo kurejea Shule Lakini bado kumekuwa na changamoto lukuki. Na Kitana Hamis. Wadau wa Elimu wataka Mongozo wa Serikali kwa Wanafunzi wa Kike walio Pata Ujauzito kurejea Shule ili watimize ndoto…
5 June 2025, 16:49
Serikali yatoa bilioni 51 ukarabati wa miradi ya maendeleo Zanka
Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Samia Day yaliyofanyika katika Wilaya ya Bahi, Kata yaZanka, Mhe. Kasper amesema fedha hizo zimeboresha miradi mbalimbali ikiwemo ya elimu na afya. Na Anwary Shaban . Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kasper Mmuya amesema…
5 June 2025, 16:02
Wananchi Makang’wa waendelea kupatiwa elimu ya urasimishaji
Zoezi la urasimishaji imekuwa ni mikakati ya Serikali kuhakikisha Kila mwananchi anamiliki ardhi yake kihalali Kwa kupewa hati ya umiliki wa ardhi za mashamba Yao. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa elimu ya urasimishaji wa ardhi imeendelea kutolewa Kwa wananchi wa…
5 June 2025, 15:36
Wananchi Gendabi mbioni kunufaika na mradi wa maji wa bilion 1.2
Takribani wananchi 5,000 wa vijiji vitano katika kata hiyo wanatarajia kunufaika na mradi huo wa maji. Na Kitana Hamis.Takribani wananchi 5,000 kutoka vijiji vitano vya Kata ya Gendabi, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, wanatarajiwa kunufaika na mradi wamaji unaotekelezwa kwa…
4 June 2025, 17:34
Mikopo ya asilimia 10 yawanufaisha wananchi Kizota
Ikumbukwe kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mikopo ya halmashauri ya asilimia 10 imeendelea kuwa mkombozi kwa wananchi. Na Lilian Leopold. Wananchi wa kata ya Kizota halmashauri ya Jiji la Dodoma wameeleza…
3 June 2025, 14:46
‘Mita tano usafi wangu, usafi wangu mita tano’ kuzingatiwa
Kilele cha wiki ya Mazingira Duniani hufanyika Juni 05 kila mwaka ambapo mwaka huu kaulimbiu ya siku ya mazingira ni mazingira yetu na Tanzania ijayo tuwajibike sasa dhibiti matumizi ya plastiki. Na Mariam Kasawa. Wakazi wa jiji la Dodoma wamehimizwa…
3 June 2025, 14:20
Wakazi Chinyika wapongeza uboreshaji wa miundombinu
Wakazi hao wamesema zamani miundombinu ya barabara, huduma za muhimu za kijamii ikiwemo kituo cha afya, maji safi na salama, umeme ilikuwa changamoto. Na Husna Abdallah. Wakazi wa mtaa wa chinyika kata ya mkonze jijini dodoma wametoa pongezi zao kwa…
3 June 2025, 13:48
Mavunde akabidhi jenereta shule ya msingi Bunge
Umeme unapokatika shuleni hapo wanakosa maji lakini kupatikana kwa genereta hilo watakuwa wanapata huduma ya maji kwa muda wote. Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Antony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya…
27 May 2025, 16:14
Elimu ya mikopo inamsaidia vipi kijana kujikwamua kiuchumi
Je vijana wanazungumziaje elimu ya mikopo ambayo imekuwa ikitolewa je inawanufaisha kwa kiasi gani. Na Seleman Kodima.Awali nimefanikiwa kufika hadi chuo cha kilimo,mifugo na maendeleo ya jamii TRACDI Nzuguni na kuzungumza na wadau mbalimbali kuhusu Je Elimu ya Mikopo inamsaidiaje…